Hivi Paprika kapotelea wapi?

Hivi Paprika kapotelea wapi?

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2016
Posts
4,707
Reaction score
11,365
Hivi wakuu huyu member anaeitwa Paprika kapotelea wapi?. Alikuwa ana comment maneno machache kwenye mada mbalimbali lakini yaliyojaa busara nyingi. Mimi binafsi alinivutia kwa comment zake mbalimbali.

Waliopo kalibu nae au wanaomfahamu wamwambie arudi jukwaani nimemmis michango yake.

Mwisho;

Sijawahi kuanzisha thread yeyote katika jukwaa hili la MMU. Lakini nimsomaji mzuri wa thread mbalimbali. Nimelazimika kuanzisha thread hii kwa sababu ni mwezi sasa kila nikipitia post mbalimbali sioni mchango wa member huyu. Mimi binafsi nimshabiki wa comment zake.
 
Kaolewa

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Hiyo I'd ilituwekea picha ya ngono hapa mods wakampumzisha kidogo mawenge yake yapungue.

-Ndumilakuwili-
 
Aliletaga uzi hap mumfolow facebook

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Ni shem wenu, nimemficha mimi
[emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

nafight with my weather[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom