RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Hivi wakuu huyu member anaeitwa Paprika kapotelea wapi?. Alikuwa ana comment maneno machache kwenye mada mbalimbali lakini yaliyojaa busara nyingi. Mimi binafsi alinivutia kwa comment zake mbalimbali.
Waliopo kalibu nae au wanaomfahamu wamwambie arudi jukwaani nimemmis michango yake.
Mwisho;
Sijawahi kuanzisha thread yeyote katika jukwaa hili la MMU. Lakini nimsomaji mzuri wa thread mbalimbali. Nimelazimika kuanzisha thread hii kwa sababu ni mwezi sasa kila nikipitia post mbalimbali sioni mchango wa member huyu. Mimi binafsi nimshabiki wa comment zake.