Nazichimba izo siri mwaka huu auishi nishazijua hawezekani wawe mabosi pekeao ubinafsi tuukienda kwa mo au Bakheresa au GSM awawezi kuambia kitu au siri yoyote zaid watakuambia piga kazi kwa bidii
Elon musk anaweza kukaa hadi miaka 30 bila kufanya kazi na mahitaji yote akapata na huko ndio kutoshea kwa pesa wewe mwezi tu ukipita hujafanya kazi ya kuingiza pesa wafaHela azijawai kutosha ndio maana hadi Leo Elon Bado anazitafuta, mwisho wa kutafuta Hela ni mpaka kiama
Chanzo ni mfumo wa roho yako kwanza.......iwe activated....kwa mfano umeshakwenda kwa mganga ukapewa dawa kisha ukapewa masharti kwamba usilale na mwanamke ili dawa iweze kufanya kazi.?Naomba nijibiwe hili swali kwa weledi bila kejeli wala mzaha
Hakuna mtu hapendi pesa wadau na kila siku watu hujituma kutafuta pesa sasa pesa huwa inapatikana wapi?
Naomba nieleweke nikisema pesa simaanishi vipesa vya kula namaanisha pesa nyingi
Karibuni
KabisaKwa uelewa wangu, mitego ya pesa ipo kwenye fursa zilizopo mtaani hizi fursa huweza kuwa ni changamoto na matatizo ya watu mfano Mwamposa anatembelea V8 kutokana na matatizo ya watu na sikuhizi kuna watu wanauza machine za kukunia nazi kwahiyo wametumia fursa kutengeza pesa.
Ila kuconvert fursa kuwa hela ndo kunahitaji akili.
Elon musk anaweza kukaa hadi miaka 30 bila kufanya kazi na mahitaji yote akapata na huko ndio kutoshea kwa pesa wewe mwezi tu ukipita hujafanya kazi ya kuingiza pesa wafa
Nani kakudanganya Elon awezi kukaa miaka 30 bila kufanya kazi anajuwa pesa zitaisha ndio maana anaendelea na kazi, ayo maneno uwa mnajidanganya tu nyie uko kwenye kahawa.Elon musk anaweza kukaa hadi miaka 30 bila kufanya kazi na mahitaji yote akapata na huko ndio kutoshea kwa pesa wewe mwezi tu ukipita hujafanya kazi ya kuingiza pesa wafa
Huyo mwamba anaweza kukaa sio miaka 30 tu yaani anaweza kuishi mpka anakufa kwa hela alizonazo bila kufanya kazi za kuteseka kama wewe.Nani kakudanganya Elon awezi kukaa miaka 30 bila kufanya kazi anajuwa pesa zitaisha ndio maana anaendelea na kazi, ayo maneno uwa mnajidanganya tu nyie uko kwenye kahawa.