Kushika uchumba kimegawanyika ktk sehemu 2
Sehemu ya kwanza ni ww kuwa na mwanamke ambe ni mpenzi wako alafu ukamwita rafiki yake au mtu yeyote lkn asiwe ndugu yako ukasema mm nampa huyu mpenzi wangu kitu hiki awe mchumba wangu rasmi,
Hapo utatoa chochote chenye thaman walau iyanzie 15 eflu na kuendelea sasa baaada ya hapo kama huyo mchumba wako atakuwa na mahusiano mengine unaweza ita watu wamuulize na hata kama kwao atatolewa barua unaweza mtuma mtu akawaambie kwmba bint yenu amepokea kishika uchumba kwa Fulani , kwa jina lingine tunaita kibani,
.sehemu ya pili ni kupatana na mpenzi wako anawaambia wazazi kwmba nimepata mwanamme na analeta barua ya uchumba ,kisha ww mwanaume unamtuma mtu apeleke barua ya uchumba ,sasa hapa kwa uchache unaweza weka 20 eflu na kuendelea kutokana na uwezo wako,
Kuna tofauti kati ya mpenzi na mchumba, ndio maaana kuna mama mpenzi , dada mpenzi , baba mpenzi nk ,
Lon hakuna mjomba mchumba kwa hiyo ukitumia lugha ya mpenzi inakuwa na tafsili nyingi tofauti na mchumba
Sent from my itel S11 using
JamiiForums mobile app