EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
πππ[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
πππππInategemea na mchumba mwenyewe...kama ni pisi kali, ana chura, anavaa wigi, nk.
Ila huanzia elfu sita mia tano hadi millioni 2.
ππππππWe jamaa unaonekana kama umetoka mbio kwenye kikao cha kupeleka posa, mapigo ya moyo yapo spidi kama umelambishwa turufu kwa kukabwa koo. Tafuta mahala ununue pepsi baridi halafu uandike uzi wako vizuri.
πππKushika uchumba kimegawanyika ktk sehemu 2
Sehemu ya kwanza ni ww kuwa na mwanamke ambe ni mpenzi wako alafu ukamwita rafiki yake au mtu yeyote lkn asiwe ndugu yako ukasema mm nampa huyu mpenzi wangu kitu hiki awe mchumba wangu rasmi,
Hapo utatoa chochote chenye thaman walau iyanzie 15 eflu na kuendelea sasa baaada ya hapo kama huyo mchumba wako atakuwa na mahusiano mengine unaweza ita watu wamuulize na hata kama kwao atatolewa barua unaweza mtuma mtu akawaambie kwmba bint yenu amepokea kishika uchumba kwa Fulani , kwa jina lingine tunaita kibani,
.sehemu ya pili ni kupatana na mpenzi wako anawaambia wazazi kwmba nimepata mwanamme na analeta barua ya uchumba ,kisha ww mwanaume unamtuma mtu apeleke barua ya uchumba ,sasa hapa kwa uchache unaweza weka 20 eflu na kuendelea kutokana na uwezo wako,
Kuna tofauti kati ya mpenzi na mchumba, ndio maaana kuna mama mpenzi , dada mpenzi , baba mpenzi nk ,
Lon hakuna mjomba mchumba kwa hiyo ukitumia lugha ya mpenzi inakuwa na tafsili nyingi tofauti na mchumba
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
πππππAu jaribu kuwatafuta hawa vijana wataalamu waliobobea wa kubageni mahari. Juzi walienda kubageni mahari na walifanikiwa kuishusha mahari ya jamaa kutoka 900,000/= mpaka 350,000/=.View attachment 1638634
Shukrani,Kushika uchumba kimegawanyika ktk sehemu 2
Sehemu ya kwanza ni ww kuwa na mwanamke ambe ni mpenzi wako alafu ukamwita rafiki yake au mtu yeyote lkn asiwe ndugu yako ukasema mm nampa huyu mpenzi wangu kitu hiki awe mchumba wangu rasmi,
Hapo utatoa chochote chenye thaman walau iyanzie 15 eflu na kuendelea sasa baaada ya hapo kama huyo mchumba wako atakuwa na mahusiano mengine unaweza ita watu wamuulize na hata kama kwao atatolewa barua unaweza mtuma mtu akawaambie kwmba bint yenu amepokea kishika uchumba kwa Fulani , kwa jina lingine tunaita kibani,
.sehemu ya pili ni kupatana na mpenzi wako anawaambia wazazi kwmba nimepata mwanamme na analeta barua ya uchumba ,kisha ww mwanaume unamtuma mtu apeleke barua ya uchumba ,sasa hapa kwa uchache unaweza weka 20 eflu na kuendelea kutokana na uwezo wako,
Kuna tofauti kati ya mpenzi na mchumba, ndio maaana kuna mama mpenzi , dada mpenzi , baba mpenzi nk ,
Lon hakuna mjomba mchumba kwa hiyo ukitumia lugha ya mpenzi inakuwa na tafsili nyingi tofauti na mchumba
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Siku hizi naona kishika uchumba ni mimba, vinginevyo huyo binti atashikwa uchumba hadi na watu 50+ mpaka atayemtia mimba ndiye ataoa kama atataka kuendelea na huyo mama kijachoHabari za Leo wakuu,
Nahitaji kujua hivi pesa ya kishika uchumba huwa ni shilingi ngapi.
Na anayepanga huwa ni nani.
Na anapewa nani