Hivi pesa zipo Dar au mkoani?

Hivi pesa zipo Dar au mkoani?

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Wasalamu,Ukienda Dar kutafuta pesa wenyeji wanakuambia pesa umeziacha mkoani.

Ukirudi mkoani wanakuambia pesa umeziacha Dar.

Watu wa uchumi naomba ukweli hela iko wapi?
 
Dar es salaam ndio makao makuu ya hela zote za nchi hii, ukiipatia Dar es salaam na kuzijua njia zake hutatamani kuishi kokote Duniani.
 
Dar bandari ndo kishika uchumi fanya biashara kama unaweza mnashindano
Lakin Kam unafuga
Unataka kulima?
Kuchimba madini?
Au Uvuvi
Nenda uko mikoani afu leta bizaa hapa dar
 
Dah jau sana..Toka nilipo ona wamasai nao wanalalamika MAISHA ya dar magumu sahv wanapanga vyumba sio kulala Kila mahali ..ndo hapo nikaelewa jua Kali bongo
 
Back
Top Bottom