kulagha nenga
JF-Expert Member
- Jan 1, 2026
- 690
- 1,375
Sifurahii utekaji au mauaji ya wananchi kutokana na misimamo na maoni yao kisiasa au kidini.
Hebu watanzania tuwe wakweli na tuachie unafiki swala la utekaji na mauaji ya wanasiasa na wana harakati lilianza wakati gani.
Huyu Polepole anayeonekana shujaa kwa kuthubutu kuwananga wezi na mafisadi wenzie hakuwepo au tumejizima data. Yaani baada ya kunyimwa ulaji akajifanya kuwa yeye ni mtakatifu je angepewa uwaziri kama Bashiru ally kakulu angeropoka yake aliyokowa anaropoka?
Hana sababu yeyote ya kuonekana shujaa tumuhurumie kwa kutekwa LAKINI sio vinginevyo