Hivi polisi hakuna specialization?

Hivi polisi hakuna specialization?

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,957
Mimi naamini katika mgawanyo wa kazi kama sehemu ya kuleta ufanisi kazini, nimekuwa nikishangazwa na jeshi letu tukufu la Polisi, kila polisi ni trafiki, hata wale wanaosimama na bunduki kwenye mataa na hata wale wanaitwa tigo, wale wa pikipiki, unakuta na yeye anakagua gari, anacheki road licence, mara leta leseni, mara leta triangle au fire extinguisher, kama ndo hivyo kuna haja gani ya kutofautisha mavazi yao? kuna haja gani ya trafiki kuvaa suti nyeupe wakati hata wale wa nguo za kaki nao ni trafiki? ipo siku hata wanajeshi na magwanda yao watatuomba leseni. Je jeshi la polisi halioni hatari ya askari mwenye bunduki kukagua gari, mfano wale wa mataa kazi yao ni kuangalia uasalama wa majambazi, hii kazi wataifanya kazi kweli! au nao wanataka vipesa?
 
Back
Top Bottom