Kila nikiwa kwenye mabwalo yao nawasikia wakilalamika kunyimwa haki yao ya posho za maji na umeme
Sasa naomba kujua kuna utaratibu wa majeshi kulipwa hizo posho?
Kama upo kwanini wanalalamika nini kinawakwamisha?
Nilijaribu kumuuliza pot mmoja kuhusu hilo akasema kuna mtu mmoja wizarani kwao anawakwamisha kupata posho hizo.
Binafsi sikujua kuwa kuna kitu kama hicho mnaofahamu vizuri twambie