Kila nikiwa kwenye mabwalo yao nawasikia wakilalamika kunyimwa haki yao ya posho za maji na umeme,,,,,sasa naomba kujua kuna utaratibu wa majeshi kulipwa hizo posho???? Kama upo kwanini wanalalamika nini kinawakwamisha??? Nilijaribu kumuuliza pot mmoja kuhusu hilo akasema kuna mtu mmoja wizarani kwao anawakwamisha kupata posho hizo...Binafsi sikujua kuwa kuna kitu kama hicho mnaofahamu vizuri twambie

Kwa sasa wasahau kwa mudaIGP Sirro yeye mwenyewe alisema kuwa police anatakiwa apate mahitaji hayo na akasema atayashughulikia, ila mpaka sasa naona bado, nadhani bado wako kwenye mkakati
Kila nikiwa kwenye mabwalo yao nawasikia wakilalamika kunyimwa haki yao ya posho za maji na umeme,,,,,sasa naomba kujua kuna utaratibu wa majeshi kulipwa hizo posho???? Kama upo kwanini wanalalamika nini kinawakwamisha??? Nilijaribu kumuuliza pot mmoja kuhusu hilo akasema kuna mtu mmoja wizarani kwao anawakwamisha kupata posho hizo...Binafsi sikujua kuwa kuna kitu kama hicho mnaofahamu vizuri twambie
Zimamoto nilikuwa sijui maana sina ukaribu nao maana hawana mabwalo na kota,,,Nao wapewe tu kama wanastahili
Tunajenga StiglaKila nikiwa kwenye mabwalo yao nawasikia wakilalamika kunyimwa haki yao ya posho za maji na umeme
Sasa naomba kujua kuna utaratibu wa majeshi kulipwa hizo posho?
Kama upo kwanini wanalalamika nini kinawakwamisha?
Nilijaribu kumuuliza pot mmoja kuhusu hilo akasema kuna mtu mmoja wizarani kwao anawakwamisha kupata posho hizo.
Binafsi sikujua kuwa kuna kitu kama hicho mnaofahamu vizuri twambie
Mshahara mdogo akijilinganisha na nani????? Na hawa polisi na magereza wanaoranda randa huku na kule kama kuku wa kienyeji kujitafutia chakula!!!?'... Hata mimi mwenyewe Mshahara haunitoshi...'-Mh.JPM siku ya Sheria akijibu risala ya Watumishi wa Mahakama waliokuwa wakilalamila mishahara midogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo hapa Wizarani nipe jina LA huyo mtu anaewabania posho zao!?Kila nikiwa kwenye mabwalo yao nawasikia wakilalamika kunyimwa haki yao ya posho za maji na umeme