Nimekuwa nikikaa nao kwenye mabwalo yao nawasikia wakilalamika kuhusu kutokulipwa posho za maji na umeme, nilijaribu kumuuliza askari mmoja akasema kuna mtu mmoja wizarani anakwamisha jambo hilo.
Sasa nauliza kumbe! Kuna utaratibu wa majeshi kulipwa posho za maji na umeme? Je, hawa polisi na magereza wanakwamishwa na nini hadi walalamike namna hii?
Mnaojua vizuri mambo ya Polisi na magereza tupe ukweli.