Hivi pombe aina ya "mbege" huwa inatengenezwaje!

Sikumbuki jinsi ya kupika ila nakumbuka viungo vya kutengeneza mbege.
1. Unga wa ulezi
2.Ndizi mbivu
 
Hiyo kitu safi sana...
Ukikung'uta kata moja
 
Hahahahaaaa. Mi sijasoma huko ila nadhani nilipata kumuoa pale Catholic University of Nairobi
[emoji85] [emoji85] labda huenda yeye mi sijui!![emoji3] [emoji3]
 
Inatumika mchanganyiko wa ndizi, ulenzi na mti wa ISESEWE kwa wachaga wanalijua hususani huyo sweet mangi hapo nikki wa pili
 
Mi mchagga wa mjini mangi. [emoji23][emoji23] Hyo version yako ya kichagga sijaipata fresh....wapi hyo ??
Mimi ni mchagga lkn nimezaliwa mjini sikijui vizuri hicho nimechanganya kimarangu na kikibosho[emoji2] [emoji2]
 
Pombe pekee ya kienyeji iliyopita ktk koo langu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…