Hivi Prof. Jay kwanini tu asiache muziki?

wewe hivi unajua mziki kweli wewe au hata hiyo ngoma umesikilizia kwa jirani nini [HASHTAG]#kajipange[/HASHTAG] upya
 
Hivi kipimo cha nyimbo mbovu ni kipi? kila mtu na kile anachokipenda ndio maana ukiuliza msanii mkali bongo kila mtu atamtaje wake, hatufanani sikiliza tena [HASHTAG]#kibabe[/HASHTAG]
 
Wewe ni mwanamziki? Unaujua mziki? Au wewe ni shabiki na mpenzi wa mziki?
Kwa nini aacha kazi ya kitaaluma kwa mtazamo wako?
Sometimes mambo meñgine ni bora kubaki nayo kichwani mwako, ili kuhifadhi kiwango cha welewa wako wa jambo/ mambo badala ya kujionesha kwa watu kiwango chako cha uelewa wa jambo/mambo.
 
sugu na prof j hawajielewi kabisa bange zimewawehusha
Bahati mbaya yako ni kwamba wenzàko ni kioo cha jamii na ndiyo maana hata wanaccm wenzako wanawachagua kuwa wabunge. Wewe piga porojo humu kwani wewe si kitu wa si lolote kwenye jamii ya Kitanzania wakati "wao ni akina fulani". Umaskini wa roho na akili ni mbaya sana.
 
Ndio shida ya watanzania, msanii wa hapahapa hakubaliki lakini aje msanii wa Mambele anakubaliwa balaa na cha kushangaza sasa unakuta anaimba kwa kilugha chao wewe mwenzangu na mimi hujui kitu unaimba tu......


Prof J ni msanii mkongwe na ni mwanaharakati wa aina yake kwenye game ya bongo fleva na Hip Hop hapa bongo Tz..ameufanya muziki huu kuwepo hapa ulipo..!!

Watanzania tuache unafiki tupende vya nyumbani kwanza!!
 
Taarabu imeharibu vijana wengi sana,mleta mada kabla hujapost chochote shirikisha ubongo wako na unachotaka kupost, hip hop sio taarabu
 
wimbo mzuri wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…