ben milazo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 995
- 674
wewe hivi unajua mziki kweli wewe au hata hiyo ngoma umesikilizia kwa jirani nini [HASHTAG]#kajipange[/HASHTAG] upya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyimbo ni nzurisana japo sijapata kuisikiliza
Bashite mwingine huyo ..... product ya elimu yetuProf J...sio Plof J.
Hivi kipimo cha nyimbo mbovu ni kipi? kila mtu na kile anachokipenda ndio maana ukiuliza msanii mkali bongo kila mtu atamtaje wake, hatufanani sikiliza tena [HASHTAG]#kibabe[/HASHTAG]Leo nimebahatika kusikia ngoma yake mpya inayoitwa KIBABE ni ngoma mbovu kupindukia,ni ya kawaida sana ,kama sio mpya na kama sio ya msanii mkubwa.hivi ni kwa nini hawa wasanii wa zamani wasiache tu muziki? Mbona wengi wao wanatoa ngoma mbofumbofu sana? Kwa nini hawataki kuamini kwamba muziki umewatupa mkono?mbona maproducer wakongwe wameacha kurekodi baada ya kuona zama zao zimekwisha?,
Wewe ni mwanamziki? Unaujua mziki? Au wewe ni shabiki na mpenzi wa mziki?Leo nimebahatika kusikia ngoma yake mpya inayoitwa KIBABE ni ngoma mbovu kupindukia,ni ya kawaida sana ,kama sio mpya na kama sio ya msanii mkubwa.hivi ni kwa nini hawa wasanii wa zamani wasiache tu muziki? Mbona wengi wao wanatoa ngoma mbofumbofu sana? Kwa nini hawataki kuamini kwamba muziki umewatupa mkono?mbona maproducer wakongwe wameacha kurekodi baada ya kuona zama zao zimekwisha?,
Bahati mbaya yako ni kwamba wenzàko ni kioo cha jamii na ndiyo maana hata wanaccm wenzako wanawachagua kuwa wabunge. Wewe piga porojo humu kwani wewe si kitu wa si lolote kwenye jamii ya Kitanzania wakati "wao ni akina fulani". Umaskini wa roho na akili ni mbaya sana.sugu na prof j hawajielewi kabisa bange zimewawehusha
wimbo mzuri weweLeo nimebahatika kusikia ngoma yake mpya inayoitwa KIBABE ni ngoma mbovu kupindukia,ni ya kawaida sana ,kama sio mpya na kama sio ya msanii mkubwa.hivi ni kwa nini hawa wasanii wa zamani wasiache tu muziki? Mbona wengi wao wanatoa ngoma mbofumbofu sana? Kwa nini hawataki kuamini kwamba muziki umewatupa mkono?mbona maproducer wakongwe wameacha kurekodi baada ya kuona zama zao zimekwisha?,
[emoji115] [emoji23]Prof J...sio Plof J.
Ngoma ya J ni Kali sana.Kweli tuna masikio tofaut sana nakushauri onesha challenge mkuu imba na ww