Hivi PSSSF kwa nini usimamizi wenu unalega lega ?

Hivi PSSSF kwa nini usimamizi wenu unalega lega ?

Inakuaje unafanya kazi na kila mwezi unapokea pesa na makato yako ya hifadhi hayawekwi ?
PSSSF shida ni nini ?
P.S.S.S.F,mnashida mahali,mtu achangie Milioni 15na mtu kachangia hizo hela unasema alipwe 14milioni na useme mtu kalipwa na Riba!Hapo Riba ipo wapi?
 
Niliwahi muliza mtu akasema ni michango kutoka hazina huchelewa kuja
 
Back
Top Bottom