Hivi punyeto haiwezi kusaidia kupunguza uzito, unene na vitambi?

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,830
Reaction score
4,729
Ulimwengu wa leo umetawaliwa na majanga ya kila aina ikiwa ni pamoja na magonjwa yasiyo ambukiza. Wataalamu wanasema kuwa uzito uliopitiliza, unene na vitambi si dalili njema kiafya.

Wataalamu pia wanasema kupiga puli sana hudhoofisha mwili kwa kasi.

Sasa mtu mwenye kitambi, unene na uzito uliopitiliza si apige puli tu mfululizo mwili ukidhoofika anaacha na kubadili mfumo wa maisha katika vyakula kuliko kuamshana asubuhi na kuanza kukimbizana na kurushana kamba wakati watu wamelala.

Kwanini asipige puli ili apate manufaa 2 in 1 yaani ku enjoy na wakati huo huo kupunguza unene, uzito vitambi bila kusahau atakuwa ametoka na madem anaowapenda kihisia yaani dem anakuwa ameliwa bila kujijua.

Karibuni
 
Mtu mwenye kitambi au mnene inapaswa aache kula kula hovyo, hicho ndiyo chanzo.
Kula kulingana na kazi unazofanya!
 
Nyeto ni shenzi hiyo ohooo mabonge mabonge hayo yakipiga alafu ale chakula cha kawaida aongezee na stress tatu juu yake ni wiki tu anakuwa kama Wema Sepetu wa sasa!
 
Mkuu, ukipiga Chaputa kama stareh wala hupungui mabaharia tunapiga puchu 4 times per day na tunadunda kweny kile kile kipimo kg zinaongezeka tu dawa pekee ya kupunguza unene ni stress mzee baba nishawai pungua 10kg within one week sijkusahau.
 
Mkuu, ukipiga Chaputa kama stareh wala hupungui mabaharia tunapiga puchu 4 times per day na tunadunda kweny kile kile kipimo kg zinaongezeka tu dawa pekee ya kupunguza unene ni stress mzee baba nishawai pungua 10kg within one week sijkusahau
Bhahahahahaaa
 
Alafu mnataka hiki kizazi kifike Smart World.

Kijana , Akili yako haina Akili.
 
Madogo bado wanavuta tu.... Au boarding master kapata dharula...
 
Haipunguzi unene. Sababu ni hii,

Spam hujengwa haswa na protein, afya ya mwili pia hujengwa na protein. Lakini unene hausababishwi na protein kuwa nyingi bali ni calories (jina lingine ni Energy) ambazo usipo zitumia huwa mafuta (fat)

Tendo la ndoa linasemekana kupunguza unene siyo kwa kupiga bao, bali kwa shughuli (tendo) unalofanya ambalo ulinganishwa na kufanya zoezi la kukimbia.

Kwahiyo, Acha Kutafuta Visingizio Vya Kupiga Puli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…