Hivi Queen Darleen na yeye ana bifu na baba yake au ndio mtoto wa kike hasara?

Wale mnaokataa mimba zenu baadae mnaanza kutafuta huruma mzee awe mpole tu kama hakuwathamini walivokuwa hawana kitu sasa hivi analia lia nini, alijiona kidume anajiweza

Mzee kakataaje mimba wakati kuna picha wako watatu na diamond kipindi ana miaka 8/9.!!
 
Maisha ni mafupi sana huyo diamond na huyo Queen waendelee kuziba masikio ila siku wasiyoijua huyu Mzee ataenda kujipumzikia hao shilawadu watafunga safari kwenda kuchukua mavideo wakiwa kaburini kwa baba yao wakiomba msamaha,mzazi hakosei hata akufanyie nini huyo ni baba/mama yako na ladhi zao ni mhm tuwaache ipo siku tutafufua Uzi huu kwa kumbukumbu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Mzee kwani Hana wazazi ?
 
Baada ya Mzee Abdul kumpiga mimba mamake Darleen na hatimae kuzaliwa Darleen, hapo ukawa ndio mwisho wa uhusiano wa Darleen na mamake Darleen! Ninachotaka kusema ni kwamba, hata Queen Darleen hakukulewa na babake! Na mbali na Quuen Darleen, pia ana mtoto mwingine wa kike ambae anaishi na shangazi yake, yaani dadake na Mzee Abdul!

Tatizo Mzee Abdul alikuwa na usela wa kupitiliza! Hivi humuoni tu hata jinsi anavyoongea ukalinganisha na umri wake?! Halafu nikujuze jambo lingine! Hao wote sio kwamba wanawake walikuwa wanaishi kwa Mzee Abdul bali Mzee Abdul alikuwa ndo anahamia kwa mwanamke; wakizinguana, anasepa!
Wera wera
 
Safi kabisa .
 
Kwa muziki upi wa queen darling wa kutengeneza pesa hapo WCB anapata hela ya kula na kodi tena kumuhurumia sababu damu moja hata akimsaidia nikidogo sana
Pia acha kutumia kauli chafu mtoto wa kike hasara mama yako ni wakiume
 
Mondi angewakutanisha wazazi wake wakamaliza tofauti zao ,maisha yakaendelea
 
Baada ya Mzee Abdul kumpiga mimba mamake Darleen na hatimae kuzaliwa Darleen, hapo ukawa ndio mwisho wa uhusiano wa Darleen na mamake Darleen! Ninachotaka kusema ni kwamba, hata Queen Darleen hakukulewa na babake! Na mbali na Quuen Darleen, pia ana mtoto mwingine wa kike ambae anaishi na shangazi yake, yaani dadake na Mzee Abdul!

Tatizo Mzee Abdul alikuwa na usela wa kupitiliza! Hivi humuoni tu hata jinsi anavyoongea ukalinganisha na umri wake?! Halafu nikujuze jambo lingine! Hao wote sio kwamba wanawake walikuwa wanaishi kwa Mzee Abdul bali Mzee Abdul alikuwa ndo anahamia kwa mwanamke; wakizinguana, anasepa!
Weka video yake mkuu
 
Back
Top Bottom