Wale mnaokataa mimba zenu baadae mnaanza kutafuta huruma mzee awe mpole tu kama hakuwathamini walivokuwa hawana kitu sasa hivi analia lia nini, alijiona kidume anajiweza
Huyu Mzee kwani Hana wazazi ?Maisha ni mafupi sana huyo diamond na huyo Queen waendelee kuziba masikio ila siku wasiyoijua huyu Mzee ataenda kujipumzikia hao shilawadu watafunga safari kwenda kuchukua mavideo wakiwa kaburini kwa baba yao wakiomba msamaha,mzazi hakosei hata akufanyie nini huyo ni baba/mama yako na ladhi zao ni mhm tuwaache ipo siku tutafufua Uzi huu kwa kumbukumbu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wera weraBaada ya Mzee Abdul kumpiga mimba mamake Darleen na hatimae kuzaliwa Darleen, hapo ukawa ndio mwisho wa uhusiano wa Darleen na mamake Darleen! Ninachotaka kusema ni kwamba, hata Queen Darleen hakukulewa na babake! Na mbali na Quuen Darleen, pia ana mtoto mwingine wa kike ambae anaishi na shangazi yake, yaani dadake na Mzee Abdul!
Tatizo Mzee Abdul alikuwa na usela wa kupitiliza! Hivi humuoni tu hata jinsi anavyoongea ukalinganisha na umri wake?! Halafu nikujuze jambo lingine! Hao wote sio kwamba wanawake walikuwa wanaishi kwa Mzee Abdul bali Mzee Abdul alikuwa ndo anahamia kwa mwanamke; wakizinguana, anasepa!
Safi kabisa .Baada ya Mzee Abdul kumpiga mimba mamake Darleen na hatimae kuzaliwa Darleen, hapo ukawa ndio mwisho wa uhusiano wa Darleen na mamake Darleen! Ninachotaka kusema ni kwamba, hata Queen Darleen hakukulewa na babake! Na mbali na Quuen Darleen, pia ana mtoto mwingine wa kike ambae anaishi na shangazi yake, yaani dadake na Mzee Abdul!
Tatizo Mzee Abdul alikuwa na usela wa kupitiliza! Hivi humuoni tu hata jinsi anavyoongea ukalinganisha na umri wake?! Halafu nikujuze jambo lingine! Hao wote sio kwamba wanawake walikuwa wanaishi kwa Mzee Abdul bali Mzee Abdul alikuwa ndo anahamia kwa mwanamke; wakizinguana, anasepa!
Wamezidi wanaona raha kuwa sperm Donner apambane na miguu yakealiwatelekeza watoto wacha naye wamtelekeze. Aliona uzinzi ni bora kuliko welfare ya watoto, ngoja wamtelekeze.
Weka video yake mkuuBaada ya Mzee Abdul kumpiga mimba mamake Darleen na hatimae kuzaliwa Darleen, hapo ukawa ndio mwisho wa uhusiano wa Darleen na mamake Darleen! Ninachotaka kusema ni kwamba, hata Queen Darleen hakukulewa na babake! Na mbali na Quuen Darleen, pia ana mtoto mwingine wa kike ambae anaishi na shangazi yake, yaani dadake na Mzee Abdul!
Tatizo Mzee Abdul alikuwa na usela wa kupitiliza! Hivi humuoni tu hata jinsi anavyoongea ukalinganisha na umri wake?! Halafu nikujuze jambo lingine! Hao wote sio kwamba wanawake walikuwa wanaishi kwa Mzee Abdul bali Mzee Abdul alikuwa ndo anahamia kwa mwanamke; wakizinguana, anasepa!
Wewe ndo mganga? Au wakati wanapewa masharti wewe ulikua wapi?