Hivi R, L na H, ni Ugonjwa wa Taifa?

Umeondoa maneno "bahati mbaya" kwenye kauli.

Kiranga unatembea na marking scheme huku jukwaani!? Nimekuambia sihitaji kupata ushindi kwenye hoja hii maana kuna hoja nyingi tu naweza kutafutia ushindi, na ili uibuke mshindi nikakupa na ushindi mapema kabisa. Ila ukweli unabaki kuwa kuna watu wanaathiriwa na lugha zao za utotoni, kiasi ukubwani hushindwa kutamka baadhi ya herufi, hili halijalishi ni bahati mbaya, uzembe au nini lakini habari ndio hiyo.
 
Hata mimi sihitaji ushindi.

Na kama unaona nahitaji ushindi na ushanipa ushindi kwa nini unaendelea kunijibu?
 
Mimi nilifikiri unazungumzia R na L za kwenye Gari
 
Hata mimi sihitaji ushindi.

Na kama unaona nahitaji ushindi na ushanipa ushindi kwa nini unaendelea kunijibu?

Nina kujibu maana sina cha kupoteza na sina popote nilipokupora ushindi wako. Kuna shida kwenye hilo boss?
 
Kadhalika kuna;

Dh na Z
Th na S
Madhumuni - Mazumuni
Maudhi - Mauzi
Dhuru - Zuru
Thamani - Samani
Athirika - Asilika
Mathayo - Masayo
Themanini - Semanini
Theluthi - Selusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…