Yako makosa mengi sana, matumizi ya maneno " yeyote na yoyote " bado nichangamoto. Wekeni kanuni ya matumizi R na L hapa twende pamoja. Au nikukariri tu hakuna kanuni?
Mambo ya kike kike , kacheze vigodoro huko , usituletee shobo hapa.Na wewe huna kelele?
Na wewe sio mwanaume?
Okay....
Ushoga ni wako mwenyewe,keep it for yourself!
Dont push what you do on others!
Fvck’ya!
Mambo ya kike kike , kacheze vigodoro huko , usituletee shobo hapa.
Matumbi na kiingereza cha marekani wapi na wapi ? Hujitambui wewe, bog*sWewe na nani?
Nigga,you flaming?
Matumbi na kiingereza cha marekani wapi na wapi ? Hujitambui wewe, bog*s
Huna lolote , America ni kwa waamerika , sio nyie mnaoenda kijilamba huko , kwenu Afrika jivunie uafrika wako .mshamba wewe!.Una phobia na Kimarekani?
Unaogopa Kiingereza cha America?
Hizi shule zenu za mavi chooni alizowaletea Jiwe zitawatoa mavi!
Huna lolote , America ni kwa waamerika , sio nyie mnaoenda kijilamba huko , kwenu Afrika jivunie uafrika wako .mshamba wewe!.
Kimatamshi sawa inawezekana ikawa ni tatizo. Lakini kwenye uandishi hapana! Kwani lugha ya uandishi tunafunzwa kwa kanuni za kiuandishi na linarekebishika.Makabila pia yanachangia,mfano wanyamwezi wanatumia sana L kwenye R, utasikia mtu anasema Gali badala ya Gari au Habali badala ya Habari.
Hahahaaaaaa... eti huwatandika!Huu uzi unamhusu Faiza Foxy mwenyewe.
Hapa nimejaribu kufuatilia wengi waliopata elimu zao za msingi miaka ya 90 kuendelea, wengi wanao huo 'ugonjwa', lakini sielewi kisababishi.
Mtu kama aliungishwa elimu ya msingi, hujivuta hivyohivyo hadi chuo kikuu na akikuandikia mada unabakia kubishi juu ya elimu yake!
Nimesemea elimu ya msingi zaidi ndiyo inawatia ulemavu wa maisha wasipofundwa kuanzia hapo, kwa sababu wengi sana wanarekebishwa humu juu ya matumizi sahihi ya silabi, lakini hawaelimiki ama hawajifunzi chochote.
Ndiyo maana Faiza Foxy huwatandika kwa neno lake maarufu ... 'hivi shuleni ulienda kusomea ujinga?'...
Hapa Magogoni miongoni mwetù kuna msomi level ya doctorate hivyo hatuwezi feli vitu vidogo kama hivyo.Zinasumbua wengi "kweri kweri" Siyo jf tu, mpaka "ikuru magogoni"
Ndo ujue kuwa wenye online tv elimu imewapita mbali, hata mada zao ni za kijinga, hawajui kureport , habari za uongo nyingi. Ni keroTatizo hili sio hapa jf tuu.yaani Wahandishi na watangazaji karibu wote kwenye tv za mitandaoni .wana tatizo hili R na L
Asiyejua tofauti ya Hana na Ana lazima alifeli somo la kiswahili, au hajasoma hata elimu ya msingi. Huwa inaniwia vigumu kuona mtu amefika hadi chuo kikuu lakini hajui kuandika kiswahili fasahaTatizo lingine kubwa ni hili kama lako. Wengi hawajui wapi h au a inatumika. Mfano wewe ulitakiwa kuandika waandishi. Au mwingine hajui tofauti ya HANA na ANA.
Hahahahahakuna manzi aliniandikia hivi "niretee era ya kura" huo ndio ukawa mwisho wetu rasmi.
Basi JF kuna wengi hawajasoma hata elimu ya msingi.Asiyejua tofauti ya Hana na Ana lazima alifeli somo la kiswahili, au hajasoma hata elimu ya msingi. Huwa inaniwia vigumu kuona mtu amefika hadi chuo kikuu lakini hajui kuandika kiswahili fasaha
Naamini wamesoma ila kujiendekeza, ukielimishwa unapaswa kuelimika sasa unakuta mtu kasoma chekechea, primary, secondary, chuo.,, He hujajifunza tu?Basi JF kuna wengi hawajasoma hata elimu ya msingi.