Hivi Raila Odinga anatuma ujumbe gani hapa?

Hivi Raila Odinga anatuma ujumbe gani hapa?

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253
Wakuu,

huyu bwana anazidi kushangaza watu kila kukicha. Mara aliokoka na
kubatizwa hivi majuzi....afu leo hii sijui keshakua Legio Maria.

Kazi mnayo kweli hapo Kenya!

TOMRailaLegio0209p.jpg

TOMRailaLegio0209k.jpg

he is just another frustrated chap...
 
Tamaa na uchu wa madaraka unaweza mpeleka mtu kufanya vitu extreme..lol
 
Hajageuka kuwa legio maria, he was adressing them so he had to wear that attire. at times he even wears a kanzu while adressing muslim crowds. its like being made a maasai elder, you dont denounce your tribe after that you knw.
 
Bravo Kaka Smatta(nakukumbuka kwenye THREAD ya MIRAA)...Yawapasa watu waelewe kuwa unapokuwa kiongozi unawajibika kuhudhuria dhifa na hafla mbalimbali, ambapo zingine ndo kama hizo, na wenye kutafsiri watatafsiri kila mtu na lugha yake!...lol!
 
Mbona hakuna cha ajabu. Ila umeleta picha nzuri sana za tukio hilo.
 
Unajuwa Moreno Ocampo alikuwapo karibuni hapo...huenda Odinga anaweweseka...maana maswahiba zake weshamuwekea wazi kuwa wakipelekwa the Hague nayeye atakwenda...kimuhemuhe tu hicho lakini the guy is saved
 
me hata simwelewi, manake dah, i see him as a true politician
 
Back
Top Bottom