HIVI RAIS ANAJUA KAMA KUNA SHIDA YA MAJI DAR?

HIVI RAIS ANAJUA KAMA KUNA SHIDA YA MAJI DAR?

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya wananchi serikali ina husika moja kwa moja kuhakikisha watu/wananchi wake wanapata maendeleo endelevu.
Huku wananchi tukiwa tunajitutumua kuhakikisha tunaishi vizuri, ni vyema serikali nayo ikatoa kwa ubora huduma za msingi kwa wananchi wake.

Inawezekanaje watu wakakosa maji kwa siku nyingi?

Yatapita!!!
 
Back
Top Bottom