Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Au Mimi ndio sielewi? Kwanin Waasi wanabembelezwa kwamba serikali na wacongomani wamesurrender na wamekubali kutawaliwa na M23? Hawa M23 ni kina nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ajabu sana, inasezekana amekubaliana na hali, kwamba wateke tu. nijuavyo, M23 walisema wamesitisha, pengine ilikuwa pending kikao cha SADC wiki hii, ila ili kikao kiwe na mhemko au ili tshekeli asitishe safari yake kuja bongo, wakaamua kuvamia hayo maeneo tena strategically ili asipokuja waseme yeye ndio hataki suluhu.Au Mimi ndio sielewi? Kwanin Waasi wanabembelezwa kwamba serikali na wacongomani wamesurrender na wamekubali kutawaliwa na M23? Hawa M23 ni kina nani?
hata mimi huyu jamaa simuamini hata kidogoAu Mimi ndio sielewi? Kwanin Waasi wanabembelezwa kwamba serikali na wacongomani wamesurrender na wamekubali kutawaliwa na M23? Hawa M23 ni kina nani?
Au Mimi ndio sielewi? Kwanin Waasi wanabembelezwa kwamba serikali na wacongomani wamesurrender na wamekubali kutawaliwa na M23? Hawa M23 ni kina nani?
View: https://x.com/StanysBujakera/status/1887306274750030073
Mkuu, hiyo video ya leo asubuhi Senate na Bunge la DRC. Ukiweza kuielewa, utajua lipi ushike,lipe uache.
Serikali yenyewe imeshachanganyikiwa. Nani ana jukumu zaidi ya serikali yenyewe? Hili jambo halipo kihisia zaidi. Anaeongea hapo, siku za nyuma alishawekwa ndani,kisa kutofautiana na raisi. Kwa ushawishi alio nao, raisi alilazimika kumuweka alipo,ili amani ipatikane. Leo hii, unahusiswa na kuwa huenda anaisaliti serikali. Kama tatizo lipo kwenye uongozi juu, unategemea nini?
Yupo. AnarecruitAu Mimi ndio sielewi? Kwanin Waasi wanabembelezwa kwamba serikali na wacongomani wamesurrender na wamekubali kutawaliwa na M23? Hawa M23 ni kina nani?
Tshisekedi na PK lao moja, wanaelewana kwenye upigaji wa madini. Kumbuka hakushinda uchaguzi alipachikwa kwa bao la mkono na Joseph Kabila.hata mimi huyu jamaa simuamini hata kidogo
Huyo anayeimbisha nimecheka sana.