pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Ndio inavyokuwaga hadi wanachukua nchi. Hata Kagame, Mseveni, Kabila waliingia madarakani kwa staili hiyoAu Mimi ndio sielewi? Kwanin Waasi wanabembelezwa kwamba serikali na wacongomani wamesurrender na wamekubali kutawaliwa na M23? Hawa M23 ni kina nani?
Au Mimi ndio sielewi? Kwanin Waasi wanabembelezwa kwamba serikali na wacongomani wamesurrender na wamekubali kutawaliwa na M23? Hawa M23 ni kina nani?
Hiyo jeuri aitoe wapi?Au Mimi ndio sielewi? Kwanin Waasi wanabembelezwa kwamba serikali na wacongomani wamesurrender na wamekubali kutawaliwa na M23? Hawa M23 ni kina nani?
Mkuu mgogoro wa Congo ni mgumu kuliko unavyodhani , umedumu zaidi ya miongo 3 , makundi ya waasi yapo zaidi ya 140 yenye maslahi tofauti tofautiAu Mimi ndio sielewi? Kwanin Waasi wanabembelezwa kwamba serikali na wacongomani wamesurrender na wamekubali kutawaliwa na M23? Hawa M23 ni kina nani?
sikujua kama wanakubalika hivi na wananchi
Mi nahisi hivi ni vitisho ili serikali na jumuia ya kimataifa ikubali kusitisha mapigano na kuligawa hilo eneo la mashariki liwe huu kwa hofu ya kutekwa Kinshasa. Kivu ikishatekwa Tshekeli atakaa mezani.