unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,870
Nawasubiri hao "praise and worship team for Magufuli" waje na hizo pumba zao na nitazijibu kwa hoja
JF nzima hamna zuzu Kama weweWanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli nyie wachache mnajiangaisha
Mkuu wanishangaza unapolinganisha siasa za marekani na hizi zetu za watu kukimbia na masanduku ya kura mchana. Ukitumia kisingizio cha watu hawafanyi kazi na wanamudu maisha yao ya kila siku nadhani si sahihi. Kama ni hivyo Raisi akiwa kwenye ziara zake watu wasiudhurie waendelee na kazi na si kushindia mabarabarani kutwa wakimsubiri. Au TBC iache kuonyesha live hata vitukio uchwara kutwa nzima ili watu wafanye kazi.Nchi hii haswa wakulima wanafanya kazi kama punda lakini wanachokipata Mungu ndiye anayejua. Hicho kisingizio ni cha kitoto sana na hakuna mtu mwenye akili zake nzuri ataelewa hata siku moja.vyama vya upinzani hua hawanaga utaratibu mzuri wa mikutano: yaani ghafla tu utaskia mkutano, kuna watu ambao kazi zao sio rasmi, unakuta mtu badala ya kwenda kibaruani anaenda kwenye kushangailia kitu hakina maana
we ulishawahi ona wap hillary clinton baada ya uchaguzi anaenda kufanya mikutano ya siasa? senator gan unamwona anahangaika na mikutano? ni uku tu, hii mikutano kabla magu hajaingia ilikua inafanyika kila kukicha mpaka inafika kipindi watu wanapoteza maisha? wananchi walipata faida gan?
Katumia
sheria ipi kutoa hayo maigizo, Hakuna mbunge atatoka jimbo lake kwenda jimbo jingine bila ya kukaribishwa na mwenyeji wake ambaye atakuwa ni mbunge wa jimbo husika. Hapo shida ni nini sasa, ujanja ujanja wa kitoto ndo umemjaa huyo mzee wenu alafu anafikiri wote hawawezi kuchanganua mambo. Anachokifanya hakina tija kwa kipindi kijacho zaidi ya kuwagawa wananchi na kujenga chuki isiyo na umuhimu wowote. Hata huko majimboni mabunge wa upinzani wana wakati mgumu sana kufanya mikutano, mizengwe kibao.
Mkuu wanishangaza unapolinganisha siasa za marekani na hizi zetu za watu kukimbia na masanduku ya kura mchana. Ukitumia kisingizio cha watu hawafanyi kazi na wanamudu maisha yao ya kila siku nadhani si sahihi. Kama ni hivyo Raisi akiwa kwenye ziara zake watu wasiudhurie waendelee na kazi na si kushindia mabarabarani kutwa wakimsubiri. Au TBC iache kuonyesha live hata vitukio uchwara kutwa nzima ili watu wafanye kazi.Nchi hii haswa wakulima wanafanya kazi kama punda lakini wanachokipata Mungu ndiye anayejua. Hicho kisingizio ni cha kitoto sana na hakuna mtu mwenye akili zake nzuri ataelewa hata siku moja.
Mkuu wanishangaza unapolinganisha siasa za marekani na hizi zetu za watu kukimbia na masanduku ya kura mchana. Ukitumia kisingizio cha watu hawafanyi kazi na wanamudu maisha yao ya kila siku nadhani si sahihi. Kama ni hivyo Raisi akiwa kwenye ziara zake watu wasiudhurie waendelee na kazi na si kushindia mabarabarani kutwa wakimsubiri. Au TBC iache kuonyesha live hata vitukio uchwara kutwa nzima ili watu wafanye kazi.Nchi hii haswa wakulima wanafanya kazi kama punda lakini wanachokipata Mungu ndiye anayejua. Hicho kisingizio ni cha kitoto sana na hakuna mtu mwenye akili zake nzuri ataelewa hata siku moja.
Kwa nini unafikiri mimi ni mpinzani wa kisiasa, kwa hiyo statement yako kumbe nisipoteze muda wangu mkuu. Nilifikiri tunajadili kwa hoja ili tuone mustakabali wake ushaingiza uvyama. Mimi ni mwanachama kindakindaki wa CCM, kadi yangu nillikata Oct 1995 pale Dodoma wakati huo mrema katutetemesha. Anapita pala mbele ya ofisi za chama akienda uwanja wa Jamhuri gari ikisukumwa. Watumishi wa CCM wakichungulia madirishani huku wamepigwa bumbuwazi. Mkuu labda tutafute mada nyingine.izo ni hafla, ni kama usimame sehem usalimie watu, sasa nyie wapinzani mpaka watu wanapoteza maisha yao:
sasa unataka nimlinganishe nan wakati muundo wa siasa umetoka mambele? waliotuletea siasa wenyewe hawafanya mambo unayotaka yafanyike, trump akiwa anaenda sehem lazma aongee na watu wake ni tafaut na wapinzani mnavotaka iwe
Kuna mkuu mmoja humu amesema hata wachungaji wa makanisa ualikana. Pengine kubadilishana upako na ushare uzoefu. Huo ndio utamaduni wetu mkuu una shughuli yako wenzako wanajumuika nawe, una ziara za kisiasa wenzio wanakuja kukusupport na kushare uzoefu wa kukabili changamoto. mwingine ni Mbunge wa Babati kwa mfano lakini kwao ni Tarime kama ilivyokuwa kwa Kisyeri Chambiri, akirudi kwao kujumuika na mbunge wa Tarime kuongea na wanachi kuna kosa gani kama sio siasa za kipuuzi tu.labda nkuulize swali moja: nini faida ya zitoo kwenda kufanya mkutano wa siasa arusha ama moshi? maaana mm naongelea in an opportunistic way, katiba nlishakwambia mm sijui napenda kureason vitu off the ground: nipe faida moja nzito ambayo naweza kukubaliana na wewe kwamba zitto akienda arusha kufanya kampeni wanancho watanufaika nayo: usiniambie mambo ya katiba, alafu je unajua maisha ya watu wa kigoma yalivo magumu?
Hivi wewe unaona kupigwa marufuku mikutano ya upinzani ni sahihi, kwa madai yako kuwa ni "wastage of time"Unaona kosa lako. Ni kutokuwa impartial na hisia zako. Hakuna praise wala sifa. It’s about seeing with the eyes of a Tansanier. Mnakurupukaga bila kufanya utafiti hata wa macho tu wa before. During and after. Tell me mikutano ya Siasa ilikuwa inatusaidia nini kwenye maendeleo yetu?
Wewe ndo mmoja wapenda taarabu . Words words words no work ndo ulichojaza hapa Afu eti unatangaza eti Waje. Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote. But I appreciate for once the presence of JPM as a President of TZ. No blah blah mlizozoea. Siasa mwaka Mzima. Nilipata tabu sana mwaka 2014 nilipokuja Tz. Maofisini no work Ni Siasa tu. Do you think that Siasa is our priority now and after almost 50 years of blah blah.
Usipende kujidanganya ukajiona mropokaji. It’s sign of stupidity and frustration. Wake up mr Mystery man. Kaa tulia Punguza Siasa kichwani mwako. Utajua what Tanzanians really need. NOT POLITICS and TAARABU. Work my dear. Results my dear. Hate for the sake of hate will just kill you.
I feel very sorry for you man.
YEAH ILA NAONA MH GAMBO KIDOGO AMEKUWA MTULIVU!!!!Wananchi huwa tunajiuliza hivi hawa wateule wake ambao huwa wanaisigina waziwazi kwa vitendo vyao na wananchi tumepiga kelele sana, lakini yeye Rais ameamua kuweka pamba masikioni.
Nitatoa mifano michache, akina Bashite, Ole Sabaya, Chalamila na Gambo, just to mention a few, ambao wamekuwa "untouchables" kwa kuwa ni wateule wa Rais na yeye hasikilizi kelele za wapiga debe!
Hivi hiyo ndiyo kutekeleza kweli ile tafsiri ya demokrasia kuwa ni serikali ya watu inayochaguliwa na watu kwa ajili ya kuwatumikia watu??
Kuna mkuu mmoja humu amesema hata wachungaji wa makanisa ualikana. Pengine kubadilishana upako na ushare uzoefu. Huo ndio utamaduni wetu mkuu una shughuli yako wenzako wanajumuika nawe, una ziara za kisiasa wenzio wanakuja kukusupport na kushare uzoefu wa kukabili changamoto. mwingine ni Mbunge wa Babati kwa mfano lakini kwao ni Tarime kama ilivyokuwa kwa Kisyeri Chambiri, akirudi kwao kujumuika na mbunge wa Tarime kuongea na wanachi kuna kosa gani kama sio siasa za kipuuzi tu.
Hahojiwi popote, halazimishwi kupokea ushauri wowote, viongozi wote muhimu anateua yeye hashtakiwi kwa kosa lolote wakati wa urais na hata baada ya kustafu hiyo ni kwa mujibu wa katiba ya nchi kwa hiyo anaweza kufanya chochote atakacho popote na wakati wowote kwa hiyo akitaka kujimilikisha nchi na wananchi kwa mda wa uongozi wakeSiyo kweli
Soma vizuri Katiba na utajua kuwa Rais anatakiwa kuwa mtumishi wa watu na siyo kujidai kuwa watu hao ni Mali binafsi yako
Huyu wewe wa enzi hizo na wewe wa sasa mkikutana mtazichapa sana.Huyu ni Jiwe ni Dikteta.
Udikteta ni mfumo wa utawala wa nchi ambapo mtu mmoja asiyebanwa na sheria wala katiba anashika madaraka ya serikali na ana uwezo wa kuyatumia jinsi anavyoamua mwenyewe.
Lakini tabia muhimu ya udikteta ni ya kwamba dikteta ana nafasi au uwezo wa kupuuza sheria au kufanya maazimio nje ya sheria na hakuna njia ya kumlazimisha kutii sheria.
Tabia muhimu ya demokrasia ni mgawanyo wa madaraka na humo uhuru wa mahakama. Katika udikteta serikali inateua mahakimu na kuingilia kati katika maazimio ya kesi. Kama kesi inaangaliwa na serikali ni kawaida ya kwamba hukumu huamuliwa nje ya mahakama.
Polisi inapewa nafasi ya kuwatesa watu na hii ni aina ya adhabu bila sheria wala mahakama. Mara nyingi polisi zinapewa pia nafasi ya kuua watu hovyo au kuwafunga ndani bila kesi kusikilizwa mahakamani.
Uhuru wa maoni unabanwa au hata kupigwa marufuku kabisa. Serikali inasimamia vyombo vya habari kama magazeti, redio na televisheni. Kutolewa kwa maoni yasiyopendwa na serikali ni vigum
Hatuwezi kuzichapa.Huyu wewe wa enzi hizo na wewe wa sasa mkikutana mtazichapa sana.
Kuna watu hamna moral probity kukemea maovu, wengine tumeendelea kuwa consitent kukemea ushenzi huu miaka zaidi ya 10 tangu yule dikteta awepo, kumbe wewe ulikua na sababu zako ukijificha katika kivuli cha maovu ya dikteta Magufuli.
Haya sasa tueleze hayo uliyoyataja miaka 7 nyuma sasa hivi yapo au hayapo?
Hebu tueleze kwa sasa hao policcm uliowataja wameacha kufanya uliyoyataja?
Saa hizi wanadili mpaka na viongozi wa dini, mabaolizi, raia wa kigeni na diaspora.
Umebadili bendera sababu umesogezwa kwenye meza ya damu au hii ID ulifanya transfer kwa mtu au ulikua mtu mwenye chuki binafsi na dikteta jiwe ukaona upitie humo humo kujifanya unakemea maovu?
Alianzisha halafu Samia akamaliza au akaendeleza?Hatuwezi kuzichapa.
Yule Magufuli ndiye aliyeanzisha haya maushenzi ya kuzuia shughuli za vyama, kukandamiza demokrasia na kuteka na kuua. Samia kaja na 4R, karudisha mikutano ya siasa, kafungua nchi lakini CDM wakawa ndiyo wa kwanza kuponda maridhiano kupitia kauli za Tundu Lissu kwenye majukwaa.
Huu ni utetezi rahisi sana huwezi kujitetea kirahisi hivi nguvu uliyotumia enzi za dikteta Magufuli imeishia wapi sasa aliyofanya Samia na yule dikteta kuna tofauti, mimi naona Samia kafanya zaidi na zaidi.Sikubaliani wala siungi mkono kuua waatu awe mmoja au 1,000 ila naamini watu wa system wanajuwa ni kwa nini walitimia rosasi za moto katika kudhibiti ule uharibifu wa 29/10.
Tundu ni PUMBAVU na wala hatakuja pata madaraka mengine zaidi ya hayo ya uwenyekiti wa CHADEMA. Yeye ndiye mnufaika mkubwa wa 4R lakini alikuwa ndiye wa kwanza kuponda maridhiano. Sasa ana faida gani huyuAlianzisha halafu Samia akamaliza au akaendeleza?
4R moja wapo ilikua ni reforms ambazo Samia alizikataa akamuweka Lissu gerezani.
Huu ni utetezi rahisi sana huwezi kujitetea kirahisi hivi nguvu uliyotumia enzi za dikteta Magufuli imeishia wapi sasa aliyofanya Samia na yule dikteta kuna tofauti, mimi naona Samia kafanya zaidi na zaidi.
Kwamba hukubaliani na mauaji ?
Hebu weka post zako 5 hapa ukikemea mauaji yaliyofanywa na Samia.
Upumbavu wake umezidi wa Samia?Tundu ni PUMBAVU na wala hatakuja pata madaraka mengine zaidi ya hayo ya uwenyekiti wa CHADEMA.
Hebu sema Lissu alinufaikaje na hayo unayoita maridhiano.Yeye ndiye mnufaika mkubwa wa 4R lakini alikuwa ndiye wa kwanza kuponda maridhiano. Sasa ana faida gani huyu