Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Tundu alikuwa na kesi 3 Mahakama ya Kusutu, zilifutwaUpumbavu wake umezidi wa Samia?
Hebu sema Lissu alinufaikaje na hayo unayoita maridhiano.
Au ndio Wenje dalali kumpeleka Abdul nyumbani kwa Lissu kujaribu kumhonga?
Hongo ndio kunufaika huko Lumumba?
Naona unajipiga own goal za kutosha wewe, gloves zako umezipaka mafuta?
Tundu alikuwa anadai mafao yake ya Ubunge, alilipwa
Mikutano ya kisiasa ikaruhusiwa
Ruzuku ya CHADEMA ikalipwa
Wafungwa waliokuwa magerezani kama akina Mdude wakaachiwa.
Tatizo zikaanza dharau kwa Rais mwanamke, walidhani wangemuendesha