Tundu alikuwa na kesi 3 Mahakama ya Kusutu, zilifutwa
Tundu alikuwa anadai mafao yake ya Ubunge, alilipwa
Mikutano ya kisiasa ikaruhusiwa
Ruzuku ya CHADEMA ikalipwa
Wafungwa waliokuwa magerezani kama akina Mdude wakaachiwa.
Tatizo zikaanza dharau kwa Rais mwanamke, walidhani wangemuendesha