Uchaguzi 2020 Hivi Rais Magufuli kuwaahidi nafasi za uteuzi akina Andrew Chenge, siyo kutonesha kidonda kwa mamilioni ya vijana wasiokuwa na Ajira?

Hongereni sana wanaChadema kwa kuwa na msimamo huo wa ki-Mandela!

Pamoja na kupitia mateso makubwa sana, chini ya utawala huu wa awamu ya 5, lakini mmetoa msimamo wenu kuwa iwapo wananchi watawapa ridhaa ya kuongoza nchi hii kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu, hamtalipiza kisasi kabisa!
 
Katambi amemuaminisha Jiwe kuwa Tundu Lissu ni level yake na anauwezo wa kumpa makavu hadharani. Kwa muda huu Jiwe Akimpata mtu mwenye uwezo huo anaweza kulabidhiwa hata Bombardier iwe mali yake yeye mkewe na watoto wake.
Huyo Magufuli kama anajiamini kweli, ni kitu gani kinamfanya aogope, kuandaliwa mdahalo na mgombea mwenzake wa kiti cha urais Tundu Lissu?

Kwa yeye Tundu Lissu yupo tayari kuingia katika mdahalo huo, hata kama utakuwa umeandaliwa kesho!
 
Umekosea, tuko kwenye mada ya hongo!! Sema "Hongera Chadema kwa kutoa Hongo takatifu"😂😂
 
Huyo Magufuli kama anajiamini kweli, ni kitu gani kinamfanya aogope, kuandaliwa mdahalo na mgombea mwenzake wa kiti cha urais Tundu Lissu?

Kwa yeye Tundu Lissu yupo tayari kuingia katika mdahalo huo, hata kama utakuwa umeandaliwa kesho!
Mengi aliyofanya Magufuli katika hii miaka mitano yana maswali ambayo hata yeye mwenyewe binafsi hana majibu.
 
kwa akili yako unaweza kutoka chuo tu ukateuliwa kuwa balozi au katibu mkuu nishati na madini?
vijana someni lakini msitegemee kuajiriwa na serikali
Salim Ahmed Salim aliteuliwa kuwa Balozi akiwa na umri wa miaka 26? na akapaa mpaka kugombea Ukatibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akishindwa kwa kura ya turufu akiishia kuwa Katibu Mkuu wa AU. Vijana wanaweza kufanya maajabu wakipewa nafasi!
 
acha kukariri maisha.mambo ya 1962 unalinganisha na sasa?wakati huo wasomi walikua wachache sana
 
Anaanzaje kushinwa ameshapita tokea 2015 mwezi ujao kukamilisha ratiba tu
 
acha kukariri maisha.mambo ya 1962 unalinganisha na sasa?wakati huo wasomi walikua wachache sana
Wewe kada kwanini huukubali ukweli unaoambiwa?

Hivi huyu Mzee Chenge, unategemea afanye muujiza gani, katika nafasi hizo za uteuzi?

Acha kukariri kwa kufikiria kuwa hao wazee peke yao ndiyo wanaofaa kwa nafasi hizo za uteuzi
 
Acha kukariri kwa kufikiria kuwa hao wazee peke yao ndiyo wanaofaa kwa nafasi hizo za uteuzi
uzee dawa
ina maana baba yako mzazi si lolote si chochote kisa ni mzee?
umetoka tu university huna expurience exposure,unataka uteuliwe kuwa DG TBS??Inabidi uwe karibu sana na Mungu
 
Hizo ni rushwa kama rushwa nyingine, sijui takukuru wanasubiri nini kumtia nguvuni
 
Kunaushenzi wahali juu sana ajira tumeambiwa mara nyingi tujiajiri wenyewe lakini kwa wakina.change.masele.nk hawawezi kujiari tumuondoe mtu huyu niadui wa watanzania mbaguzi hawataki wanyonge lakini hujifanya yeye niwawanyonge
Ndiyo vijana mjue mna Rais wa aina gani.............

Yeye ni bingwa wa kufanya maigizo, akiwa kwenye majukwaa ya kisiasa, ana-pretend kuwa yeye ni Rais wa wanyonge.........

Lakini katika hali halisi, hao wanyonge "anawanyonga" taratibu!
 
Vijana mlikwishaambiwa Mjiajiri Wazee Waendelee kuila Nchi kazi kwani Vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…