ConsultantHuyu jamaa hatoondoka Ikulu kwa sanduku la kura. NEC yenyewe imejaa maafisa usalama ambao bila shaka yoyote wanareport na kupokea maagizo kutoka Gogoni kabla ya kutangaza chochote
Na Mimi nakwambia kuwa huyu Rais ataweka rekodi ya kuwa ni Rais wa kwanza mwanaccm, kutumikia kwa kipindi kimoja tu cha miaka 5, wakati kipindi kingine cha pili, wananchi wakiwa wamemkataa kwenye sanduku la kuraMagu lazima amalize awamu zake zote, hapa tunasumbuana na kutafuta ahueni ya maon ya watu tu, au Tanzania sisi ni wageni, Magu ni rais na ataendelea, ingewezekana kusingekuwa na election tu, haya maneno utayakumbuka mwenye uzi wakat ukifika bado sio parefu.
Makarai katambi Kama tu shinyanga amesusiwa kampeni na ccm wenzake ataweza shinda vipi.Katambi kasema Tundu Lissu ni saizi Yake Kama anabisha waweke mdahalo aone atakavyo muaibisha. Pia katambi kasema mtu Kama Salum Mwalimu hafai hata kuwa balozi wa nyumba Kumi.
wewe mwenyewe umeajiliwa serikalinikwa akili yako unaweza kutoka chuo tu ukateuliwa kuwa balozi au katibu mkuu nishati na madini?
vijana someni lakini msitegemee kuajiriwa na serikali
Laaa haowazeeee watukomee kabisaVijana mlikwishaambiwa Mjiajiri Wazee Waendelee kuila Nchi kazi kwani Vijana
Sadly this won’t happen. Kwa NEC hii?Consultant
Mwaka huu ataweka rekodi kwa kuwa Rais wa kwanza mwanaccm, kung'olewa madarakani kwa kipindi kimoja pekee, akiwa bado hajamalizia kipindi chake cha pili!
Amini usiamini, muujiza huo utatokea hapa TZ mwaka huu!