Hivi Rais Mama Samia atawaruhusu wapinzani kuanza kupiga danadana na kupanda na kushuka katikati ya uwanja?

mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2020
Posts
279
Reaction score
480
Katika hali isiyotarajiwa na wenge Mama ameanza vizuri sana kuanzia aliposhika kijiti kuingia uwanjani, kwanza akaipaisha jinsia ya kike kuwa inaliweza kulisakata gozi.

Na ndani ya masaa machache akaachia shuti baya sana upande wa TPA na likamng'oa mtu na hapo hapo akajigeuza na kuangalia winga ya kushoto TAMISEMI nako ni hatari sana.

Nauliza kiuharisia kuwa kama Mzee baba akuwapa hata pumzi ya kubetua tu je Mama atawaruhuusu wapinzani hili nao waanze kupasha misuri, hasa ukizingatia kuwa misuri yao imepoa sana kwa kukaa benchi kwa muda mrefu.
 
Asubutu!
CCM washakuwa addicted na uharamia!
 
Tena kama inawezekana awape na uwanja wa mazoezi ili wanyooshe viungo vyao ikiwezekana kabisa awafungulie mlango wale woote walioko nje awakaribe ndani wapate wine kwa pamoja!
 
... her official title when addressing her is "Her Excellence Samia Suluhu Hassan the President of the United Republic of Tanzania " na hata kwenye picha yake rasmi ni "Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania".

Hilo neno "Mama" kwenye title ya Mhe. Rais sijui huwa mnalitoa wapi? Tusijenge mazoea yakaishia kuwa "sheria" kama ambavyo tunaaminishwa miongoni mwa rangi za Bendera ya Taifa ni YELLOW wakati ni ORANGE ila ndio hivyo hadi mashuleni tumefundishwa hivyo kwa makosa simply hakuna aliyejali.
 
... her official title when addressing her is "Her Excellence Samia Suluhu Hassan the President of the United Republic of Tanzania " na hata kwenye picha yake rasmi ni "Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"....
Mama ni heshima ya kijamii ikimaanisha mlezi mwenye jinsi ya kike.

Ni sawa na kusema Mzee mwinyi, usilalamikie mambo madogo kiasi hicho.
 
... her official title when addressing her is "Her Excellence Samia Suluhu Hassan the President of the United Republic of Tanzania " na hata kwenye picha yake rasmi ni "Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"...
Tusisahau kutumia yale maneno Mzalendo namba moja, Jemedari, Shujaa, Mtetezi wa Wanyonge tunamalizia na ni Rais wa awamu ya ngapi kama tulivyokuwa tukifanya kwa Hayati Mwamba
 
... her official title when addressing her is "Her Excellence Samia Suluhu Hassan the President of the United Republic of Tanzania " na hata kwenye picha yake rasmi ni "Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"....
Ndugu dondosha shule kidogo kwani hiyo rangi ya chungwa nayo inamaana gani au haya haya machungwa ya Segera Tanga.
 
Tusisahau kutumia yale maneno Mzalendo namba moja, Jemedari, Shujaa, Mtetezi wa Wanyonge tunamalizia na ni Rais wa awamu ya ngapi kama tulivyokuwa tukifanya kwa Hayati Mwamba
... Mola wake ndio mwenye kuhukumu kwa haki; Her Excellence ajizuie kujisifu au kupokea mapambio ya waimba sifa; hao ni hatari kuliko ukoma! Ni rahisi sana; azingatie Katiba na Sheria za nchi; hukumu zake ziwe hukumu za haki ataonekana na wananchi na Mungu atamwimua! As simple as that.
 
Katika hari isiyotarajiwa na wenge Mama ameanza vizuri sana kuanzia aliposhika kijiti kuingia uwanjani, kwanza akaipaisha jinsia ya kike kuwa inaliweza kulisakata gozi.......
Para ya kwanza tu unatumia kiswahili kibovu nimeacha kusoma utumbo wako. Hari ni hali. Kima wewe umekimbia shule kuuza miwa hapo Chalinze.
 
... her official title when addressing her is "Her Excellence Samia Suluhu Hassan the President of the United Republic of Tanzania " na hata kwenye picha yake rasmi ni "Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania".

Hilo neno "Mama" kwenye title ya Mhe. Rais sijui huwa mnalitoa wapi? Tusijenge mazoea yakaishia kuwa "sheria" kama ambavyo tunaaminishwa miongoni mwa rangi za Bendera ya Taifa ni YELLOW wakati ni ORANGE ila ndio hivyo hadi mashuleni tumefundishwa hivyo kwa makosa simply hakuna aliyejali.
Usihangaike sana na majina, maana majina yatakuja mengi tu huko mbele.

Walimu wetu tulikuwa tunawapachika majina, sembuse Rais.

Wanawake = Demu, manzi, shori, she

Mama = Bi mkubwa, Bi mdashi, mother, maza, bi mkora

Baba= Dingi, Mshua, faza

Magufuli = Magu, Meko, Jiwe, Dikteta uchwara, Tingatinga, bulldozer, Chuma, Kibwengo, yesu, Mheshimiwa mungu, Rais wa wanyonge 🤣

Kwahiyo suala la Samia kitakuja tu tena mengi mnoo.
 
... her official title when addressing her is "Her Excellence Samia Suluhu Hassan the President of the United Republic of Tanzania " na hata kwenye picha yake rasmi ni "Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania".

Hilo neno "Mama" kwenye title ya Mhe. Rais sijui huwa mnalitoa wapi? Tusijenge mazoea yakaishia kuwa "sheria" kama ambavyo tunaaminishwa miongoni mwa rangi za Bendera ya Taifa ni YELLOW wakati ni ORANGE ila ndio hivyo hadi mashuleni tumefundishwa hivyo kwa makosa simply hakuna aliyejali.
Kwanini hamkulalamika wakati wa Nyerere lilipotumika jina Mwalimu?
 
... kinyume cha Mama ni Mwalimu? Nyerere hakuwa Baba? Mwalimu (Mwl.) was almost official title - alijulikana either kama Mwl. .... au Rais ... na sio Rais Mwl. ... au Mwl. Rais .... OK; basi iwe officialized aitwe Mama ... lakini sio Rais Mama ...

Picha ya Nyerere title ya Mwl. Julius K. Nyerere inaonekana na hata documents mbali mbali alizosaini including sheria zilizopitishwa na Bunge anatambulika kwa title hiyo "I assent, Mwl. Julius K. Nyerere, The President"
 
Kwani inakupunguzia nini kwenye maisha yako ya kila siku akiitwa Mama? Mbona unateseka kwa mambo yasiyo na maslahi kwako
 
... kinyume cha Mama ni Mwalimu? Nyerere hakuwa Baba? Mwalimu (Mwl.) was almost official title - alijulikana either kama Mwl. .... au Rais ... na sio Rais Mwl. ... au Mwl. Rais .... OK; basi iwe officialized aitwe Mama ... lakini sio Rais Mama ...

Picha ya Nyerere title ya Mwl. Julius K. Nyerere inaonekana na hata documents mbali mbali alizosaini including sheria zilizopitishwa na Bunge anatambulika kwa title hiyo Mwl. Julius K. Nyerere.
Mama mama Mama! Mama huyo Mama mama huyo mama huyo mama,Cheo chake hakimwondolei umama atabaki kuwa mama ataendelea kuwa mama.
 
Back
Top Bottom