mtoto wa mchungaji
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 279
- 480
Mama ni heshima ya kijamii ikimaanisha mlezi mwenye jinsi ya kike.... her official title when addressing her is "Her Excellence Samia Suluhu Hassan the President of the United Republic of Tanzania " na hata kwenye picha yake rasmi ni "Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"....
Tusisahau kutumia yale maneno Mzalendo namba moja, Jemedari, Shujaa, Mtetezi wa Wanyonge tunamalizia na ni Rais wa awamu ya ngapi kama tulivyokuwa tukifanya kwa Hayati Mwamba... her official title when addressing her is "Her Excellence Samia Suluhu Hassan the President of the United Republic of Tanzania " na hata kwenye picha yake rasmi ni "Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"...
Ndugu dondosha shule kidogo kwani hiyo rangi ya chungwa nayo inamaana gani au haya haya machungwa ya Segera Tanga.... her official title when addressing her is "Her Excellence Samia Suluhu Hassan the President of the United Republic of Tanzania " na hata kwenye picha yake rasmi ni "Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"....
... Mola wake ndio mwenye kuhukumu kwa haki; Her Excellence ajizuie kujisifu au kupokea mapambio ya waimba sifa; hao ni hatari kuliko ukoma! Ni rahisi sana; azingatie Katiba na Sheria za nchi; hukumu zake ziwe hukumu za haki ataonekana na wananchi na Mungu atamwimua! As simple as that.Tusisahau kutumia yale maneno Mzalendo namba moja, Jemedari, Shujaa, Mtetezi wa Wanyonge tunamalizia na ni Rais wa awamu ya ngapi kama tulivyokuwa tukifanya kwa Hayati Mwamba
... rangi ya chungwa inasimama kama rasilimali za nchi - madini, n.k.Ndugu dondosha shule kidogo kwani hiyo rangi ya chungwa nayo inamaana gani au haya haya machungwa ya Segera Tanga.
Para ya kwanza tu unatumia kiswahili kibovu nimeacha kusoma utumbo wako. Hari ni hali. Kima wewe umekimbia shule kuuza miwa hapo Chalinze.Katika hari isiyotarajiwa na wenge Mama ameanza vizuri sana kuanzia aliposhika kijiti kuingia uwanjani, kwanza akaipaisha jinsia ya kike kuwa inaliweza kulisakata gozi.......
Upinzani sio uadui na Mama nadhani analijua hiloNauliza kiuharisia kuwa kama Mzee baba akuwapa hata pumzi ya kubetua tu je Mama atawaruhuusu wapinzani hili nao waanze kupasha misuri, hasa ukizingatia kuwa misuri yao imepoa sana kwa kukaa benchi kwa muda mrefu.
Usihangaike sana na majina, maana majina yatakuja mengi tu huko mbele.... her official title when addressing her is "Her Excellence Samia Suluhu Hassan the President of the United Republic of Tanzania " na hata kwenye picha yake rasmi ni "Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania".
Hilo neno "Mama" kwenye title ya Mhe. Rais sijui huwa mnalitoa wapi? Tusijenge mazoea yakaishia kuwa "sheria" kama ambavyo tunaaminishwa miongoni mwa rangi za Bendera ya Taifa ni YELLOW wakati ni ORANGE ila ndio hivyo hadi mashuleni tumefundishwa hivyo kwa makosa simply hakuna aliyejali.
Kwanini hamkulalamika wakati wa Nyerere lilipotumika jina Mwalimu?... her official title when addressing her is "Her Excellence Samia Suluhu Hassan the President of the United Republic of Tanzania " na hata kwenye picha yake rasmi ni "Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania".
Hilo neno "Mama" kwenye title ya Mhe. Rais sijui huwa mnalitoa wapi? Tusijenge mazoea yakaishia kuwa "sheria" kama ambavyo tunaaminishwa miongoni mwa rangi za Bendera ya Taifa ni YELLOW wakati ni ORANGE ila ndio hivyo hadi mashuleni tumefundishwa hivyo kwa makosa simply hakuna aliyejali.
... kinyume cha Mama ni Mwalimu? Nyerere hakuwa Baba? Mwalimu (Mwl.) was almost official title - alijulikana either kama Mwl. .... au Rais ... na sio Rais Mwl. ... au Mwl. Rais .... OK; basi iwe officialized aitwe Mama ... lakini sio Rais Mama ...Kwanini hamkulalamika wakati wa Nyerere lilipotumika jina Mwalimu?
Kwani inakupunguzia nini kwenye maisha yako ya kila siku akiitwa Mama? Mbona unateseka kwa mambo yasiyo na maslahi kwako... kinyume cha Mama ni Mwalimu? Nyerere hakuwa Baba? Mwalimu (Mwl.) was almost official title - alijulikana either kama Mwl. .... au Rais ... na sio Rais Mwl. ... au Mwl. Rais .... OK; basi iwe officialized aitwe Mama ... lakini sio Rais Mama ...
Picha ya Nyerere title ya Mwl. Julius K. Nyerere inaonekana na hata documents mbali mbali alizosaini including sheria zilizopitishwa na Bunge anatambulika kwa title hiyo "I assent, Mwl. Julius K. Nyerere, The President"
Mama mama Mama! Mama huyo Mama mama huyo mama huyo mama,Cheo chake hakimwondolei umama atabaki kuwa mama ataendelea kuwa mama.... kinyume cha Mama ni Mwalimu? Nyerere hakuwa Baba? Mwalimu (Mwl.) was almost official title - alijulikana either kama Mwl. .... au Rais ... na sio Rais Mwl. ... au Mwl. Rais .... OK; basi iwe officialized aitwe Mama ... lakini sio Rais Mama ...
Picha ya Nyerere title ya Mwl. Julius K. Nyerere inaonekana na hata documents mbali mbali alizosaini including sheria zilizopitishwa na Bunge anatambulika kwa title hiyo Mwl. Julius K. Nyerere.