Hivi Rais Samia kwenye harakati zake za siasa ndani ya chama aliwahi kuwa na ndoto ya kugombea Urais?

Hivi Rais Samia kwenye harakati zake za siasa ndani ya chama aliwahi kuwa na ndoto ya kugombea Urais?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Kama hakuwahi maana yake Urais huu ni matokeo ya Mwenyezi Mungu, kwamba Iliamuliwa aipitishe Nchi Kwa kipindi fulani, na hii pengine ilichagizwa na Upole, Unyenyekevu, Uanaharakati wake kuhusu Wanawake, nafasi alizowahi kushika kama Mwanamke.

Kwa Lugha nyepesi, miaka kumi ya kuwa katika Ofisi ya Rais ilimtosha.

Kugombea tena ni kwenda kinyume na Matakwa ya Mungu.
 
Mungu hausiki katika mambo ya kisiasa ambayo watu hupata uongozi Kwa kuua ,kuiba na kufanya umafia.

Mfano 2015 Lowassa alikuwa ameshinda Ila hakutangazwa Kama mshindi.
 
Mungu hausiki katika mambo ya kisiasa ambayo watu hupata uongozi Kwa kuua ,kuiba na kufanya umafia.

Mfano 2015 Lowassa alikuwa ameshinda Ila hakutangazwa Kama mshindi.
Lete ushahidi kuonesha ushindi wa ENL
 
Kama hakuwahi maana yake Urais huu ni matokeo ya Mwenyezi Mungu, kwamba Iliamuliwa aipitishe Nchi Kwa kipindi fulani ,na hii pengine ilichagizwa na Upole, Unyenyekevu, Uanaharakati wake kuhusu Wanawake , Nafasi alizowahi kushika kama Mwanamke , Yeye kua Mwanamke ,Mzanzibar .

Kwa Lugha nyepesi, Miaka Kumi ya kua Katika Ofisi ya Rais, Ilimtosha.

Kugombea tena ni kwenda kinyume na Matakwa ya Mungu .
Not only market is uncertainty but also life and everything in this universe is all about probability,numbers game, there's skill and lucky, distinguish lucky and skills please. Future is uncertainty ie full of uncertainty none can guarantee what future will hold only Creator of universe and everything in it
 
Back
Top Bottom