Kama hakuwahi maana yake Urais huu ni matokeo ya Mwenyezi Mungu, kwamba Iliamuliwa aipitishe Nchi Kwa kipindi fulani ,na hii pengine ilichagizwa na Upole, Unyenyekevu, Uanaharakati wake kuhusu Wanawake , Nafasi alizowahi kushika kama Mwanamke , Yeye kua Mwanamke ,Mzanzibar .
Kwa Lugha nyepesi, Miaka Kumi ya kua Katika Ofisi ya Rais, Ilimtosha.
Kugombea tena ni kwenda kinyume na Matakwa ya Mungu .