Hivi Rais Samia yuko serious kweli katika kuunda Kamati Maalumu ya Corona? Mbona haoneshi mfano wa kutilia maanani ugonjwa huu?


Unafiki ni tabia ya mtu!
 
Sawa.

Hujaona kama Amina na Samia wamepeana bahasha with their bare hands?

Kulikuwa na social distancing hapo?
Sasa; kama mwenzake alichukuwa tahadhari tangu mwanzo, bahasha haina shida Mkuu.
Na kama alienda kunawa vizuri basi hatari ya maambukizi inapungua zaidi...
 
Samia hajifunzi kwa Marehemu, mwache aje ashuhudia Dr Mpango akipiga jalamba huku yeye akiwa kwenye ventilator
 
Kama maombi yaliimaliza corona, kamati maalum ya Bi. Samia ni ya nini sasa? Kula hela?
Kamati ni muhimu sana Mkuu... Tanzania is not an island. Lazima turudi tushirikiane na mataifa mengine. Kama kuna tahadhari za WHO tuzifuate kikamilifu...
Wengine ishaanza kuwa ngumu kusafiri kwenda nchi za nje kikazi... Unaambiwa huna Covid vaccine usijiangaishe...
Hivi ushawahi kukutana na madhila ya chanjo ya Yellow fever? Basi hii ya Covid ishaanza kuwa official.
Kamati ni muhimu sana... Nategemee itatoa muongozo wa Kisayansi zaidi na tutarejea duniani kuishi na kujamiiana na wengine...
We are part of a bigger world! Citizens of the world
 
Watanzania hatutaki ma Barakoa jamani mbona hamtuelewi tu!? Kama kufa tutakufa tu kwa wakati wetu wa kifo!!
 
Wananichokoza, mm nina machungu yangu afu mtu anakuja kunivuruga na mm namvuruga.sijamaliza msiba

Embu subiri, afu sijawahi wekwa jela😂😂😂 wewe ni mzoefu wa jela za jf.
Wakikupeleka jela nitafute nikupe mbinu za kuishi huko jela...
 
Mbona magufuli ulikuwa umuandami kwanini avai barakoa??! Mnafiki mkubwa, mmeumia sana mama kuwa Rais wasukuma, mlitaka nchi apewe Chenge naona
 
Jiwe alidharau lkn matokeo yake hakuyashuhudia
 
Covid 19 ni issue ya diplomacy mzee.

Hiyo kamati ikisha ushaur ndio ataamua avae barakoa au asivae.

Too early to judge her on minors
Huyo hawezi kumsapoti rais Samia maana alimuindoa Bashiru ambaye chawa walitegemea abakie msaidizi wa rais ili aendeleze utawala wa jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…