yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Dah alaf kweli mkuu, habari za tanzia zimepungua sana. Unahisi ni kwanini imekuwa hivi mkuu?Hmm....na cha ajabu tokea jamaa afe, nyuzi za tanzia humu JF nazo ni kama zimeisha!
Watu hawafi tena kwa matatizo ya upumuaji!
Curious...