Mimi sio msukuma wewe nyau, sisi tuko tiyari kumpa kampani huko huko aliko.jpm hawezi kuwa mpweke mwenyewe, alipo tupo. Sisi ni wananchi watiifu lazima tuendelee kumtii jpmJipige nyundo ya kichwa ufe ili umfate mungu wenu wa kisukuma nyau ww
Alikukali nini?Unatete jitu katili kama lile? [emoji3][emoji3][emoji3] Wasukuma bhana
Ndo hivyo hata usipotegeshewa unaweza kujikuta ulipo kusanyika kuna mtu ana Covid na wewe hujajikinga anakuambukiza, kuhusu kuwa mwishoni mwa janga na chango imetoka itabidi chanjo iletwe maana kuna watu wanakwenda nje sana so itabidi wachanjwe Ili wakirudi wasituambukize.Simuelewi Mama, umri 60s. Mtu katoka Kenya huko kwenye 3rd wave. Ni hatari sana, tunaweza hata kutegeshewa mtu ana Covid akaja kwa Mama yetu.
oneni ili jinga nalo, mama Samia ana kazi, yaan hadi zuzu kama ili nalo mwananchi wake!!!!,Mimi sio msukuma wewe nyau, sisi tuko tiyari kumpa kampani huko huko aliko.jpm hawezi kuwa mpweke mwenyewe, alipo tupo. Sisi ni wananchi watiifu lazima tuendelee kumtii jpm
NilisahauMbona hukuweka alama ya kuuliza?
Hmm....na cha ajabu tokea jamaa afe, nyuzi za tanzia humu JF nazo ni kama zimeisha!
Watu hawafi tena kwa matatizo ya upumuaji!
Curious...
Uongozi wa taifa letu ni majanga Nyani Ngabu . Nafikiri bado kwa kuwa mwendazake alikuwa hapendi kusikia habari za Covid 19 . Nafikiri mama anamuenzi [emoji107]Duh! [emoji1787][emoji1787]
Zaidi ya mwaka na ushee tokea janga lianze!
WOTE wanafikiria tuvae BARAKOA na kuwa LOCK DOWN ni mafisadi ambao hawafikirii kuhusu wenzao wa kipato cha chini. Kama unataka kwendana na CORONA nenda kwenye NCHI mojawapo uone taabu yake.Uongozi wa taifa letu ni majanga Nyani Ngabu . Nafikiri bado kwa kuwa mwendazake alikuwa hapendi kusikia habari za Covid 19 . Nafikiri mama anamuenzi [emoji107]
Odhis *
Wanataka sifa za kuonyesha kuwa na sisi Tanzania tunavaa barakoa, waulize humu jaamiiforums waishio Tz ni wangapi wametoka majumbani kwao wamevaa barakoa?WOTE wanafikiria tuvae BARAKOA na kuwa LOCK DOWN ni mafisadi ambao hawafikirii kuhusu wenzao wa kipato cha chini. Kama unataka kwendana na CORONA nenda kwenye NCHI mojawapo uone taabu yake...
Kwanini hamtaki kujilinda? Ubishi wenu ndio vifo vyenu"mtakufa tu"Simuelewi Mama, umri 60s. Mtu katoka Kenya huko kwenye 3rd wave. Ni hatari sana, tunaweza hata kutegeshewa mtu ana Covid akaja kwa Mama yetu.
Kinachowasumbua wa Tanganyika ni ile "kuenzi". Nyani Ngabu . Hebu angalia sarakasi za michango wabunge . Wale wanaojiita drs la 7 na wale wanaojiita wasomi kuhusu neno "kuenzi"Leo anashiriki katika hafla ya kutunuku kamisheni maafisa wanafunzi wa JWTZ.
Sijaona hata mmoja aliyevaa barakoa, hakuna social distancing, hakuna tahadhari zozote zile za kuonekana; kuanzia yeye Rais mpaka wale waimba Taarab.
Is she serious about COVID-19 or it was just lip service?
View attachment 1754610
Hahaaaa Samia hayuko serious kwenye COVID 19.Kinachowasumbua wa Tanganyika ni ile "kuenzi". Nyani Ngabu . Hebu angalia sarakasi za michango wabunge . Wale wanaojiita drs la 7 na wale wanaojiita wasomi kuhusu neno "kuenzi"
Leo nimesikia takwimu bila ya Tanzania , tayari watu million zaidi ya tatu wameshauliwa na Corona. Hapa tumekalia kuenzi . Kikubwa jilinde wewe mwenyewe . Wale wenye kutoa mifano bado wanaenzi
Watanzania wanapenda kuambiwa hivyo hivyo na hata kama hautafanya!!Eti mtu unang'ang'aninia kwamba una tatizo!!
Nampa pongezi biti Hassan(shikamoo) popote pale alipo.Baada ya kuona wanamtilia kelele akatangaza anaunda kamati ichunguze kama ipo au haipo.
Basi kelele zikaisha na mchezo umeisha...