Hivi Rais wa nchi (kwa mfano Jakaya) anatembea na wallet?

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
5,352
Reaction score
7,668
Wadau, kuna swali nimekua nikijiuliza kwa muda mrefu sana, hivi inawezekana Rais wa nchi akawa anatembea na wallet? pesa za nini sasa? wakati kila anapokwenda anakuta kashaandaliwa kila kitu!!!
 
sio kila anapokwenda anakuwa ameandaliwa kila but hata itokee emergence pesa anatoa mtu mmoja ambaye yupo kwa kaz hyo!Lakin lengo la swal lako ni lipi?km anatembea na wallet au anakuwa na pesa popote aendapo?Kuna baadh ya watu wallet co hulka yao na hawatak kuiga kuwa nayo
 
Nafahamu kwamba wallet ina kazi nyingi, kuna kuweka pesa, business cards, identities n.k, lakini kwa madhumuni ya uzi huu...nimeitaja wallet kama kihifadhio cha mpunga (pesa)
 
wala hafahamu pesa inafananaje.... ndiyo maana noti mpya zilizichapishwa chini ya kiwango... wakasifia, wala hata ye hajui kama ile mpya ndo imechakaa kuliko ya zamani...
 
Kwa kawaida watu wenye hela zao huwa wana wallets na mara nyingi kuna kua na bodyguide au mtu maalum anayezibeba na huwa kila wallet na hela ya nchi tofauti wengi upendelea wallet ya fedha za nnje hususani dola na ya tshs
 
mi nahisi hela zinawekwaga kwenye ile briefcase kubwa ya rangi ya silver/nyeusi,,,wanatembeaga nayo wale wa "escort team" ya rais...kwa wale waliowahi kushuhudia rais(JK ofcourse) akitembelea mtu nyumbani kwake,either kuna msiba au jambo fulani,lazima mtakuwa mmewahi kuliona hilo briefcase:::wao wenyewe ndo wanajua humo ndani kuna nini,maana halifunguliwi in public.

mifano zaidi cheki hapa chini



 
Wadau, kuna swali nimekua nikijiuliza kwa muda mrefu sana, hivi inawezekana Rais wa nchi akawa anatembea na wallet? pesa za nini sasa? wakati kila anapokwenda anakuta kashaandaliwa kila kitu!!!

kama anaweza kushikilia mobile fone 3 akiwa kazini kwa nini asiwe na wallet mfukoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…