Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 May 19, 2021 #21 Kalamu1 said: Thubutu! Nani atakubali upuuzi huo. Sana sana patakuwepo na askari wawili watatu kuhakikisha usalama, basi; na hasa kama kuna maandamano ya wananchi wake walioko huko wakipinga siasa zake. Click to expand... Kule watu wanafanya kazi kwa masaa hawana muda wa kusubiri kiongozi wa kiafrica apite
Kalamu1 said: Thubutu! Nani atakubali upuuzi huo. Sana sana patakuwepo na askari wawili watatu kuhakikisha usalama, basi; na hasa kama kuna maandamano ya wananchi wake walioko huko wakipinga siasa zake. Click to expand... Kule watu wanafanya kazi kwa masaa hawana muda wa kusubiri kiongozi wa kiafrica apite
fimboyaasali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 8,617 Reaction score 8,244 May 19, 2021 #22 Salary Slip said: Kwahiyo wanapishana na magari kama raia wengine? Click to expand... Anaongozwa na polisi wa mji huo,ila hakuna kusimamisha magari kabisa
Salary Slip said: Kwahiyo wanapishana na magari kama raia wengine? Click to expand... Anaongozwa na polisi wa mji huo,ila hakuna kusimamisha magari kabisa
Joowzey JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 13,166 Reaction score 13,514 May 19, 2021 #23 cocochanel said: 😊Subiri niwe Rais wa JMT.. uone nikiwa wa kwanza.. kupitia hayo.. Click to expand... Nitakuwa mchepuko wako madame
cocochanel said: 😊Subiri niwe Rais wa JMT.. uone nikiwa wa kwanza.. kupitia hayo.. Click to expand... Nitakuwa mchepuko wako madame