Mkuu nikumbushe RnB mojawapo ya Q.ChillahUteam wenu unawavunja moyo wasanii wengine.
Kwa rnb bongo wakwanza ni rama dee anakuja steve then qchila then bele 9 alafu ndo hao wakwenu hata hawjulikan wanaimba aina gani ya mziki
Kiki gani tena anahitaji, Si huyu anajiita Raisi wa timu kiba! ? Teh teh.Rama kwa kipaji wanakimbizana na alikiba barnaba Ben pol banana kidumu.
Sijui kwanini haparty airtime kama wenzake. Namshauri atafute tu kick maana mi tanzania 90% tumeshakuwa ma bogas asee nikufwata mkumbo na umbea umbea.
Ile vita ilikuwa Vinega vs Ruge, sasa kwanini suluhu ilitafutwa baina ya Sugu na Ruge tu? Na kwanini Sugu alikubali kusuluhishwa peke yake akawaacha wenzake njiani? Binafsi ningekuwa mimi Sugu ningeenda kwenye meza ya usuluhisho na timu yangu yote ya Vinega ili kama msamaha pande zote zifaidike, alivyofanya Sugu ni usaliti narudia tena Sugu ni MSALITIHuyo ni msanii ambaye hajielewi au kwa kifupi unaweza kusema ni Nyumbu.Amejiingiza kwenye beef za kijinga na Media halafu anajikomba komba kwa Jide.Sasa Mwenzao Jide kaomba radhi ( Nadhani ni baada kuwa chini ya mchagaa Mosha anaejua namana kupata pesa )
- Sasa wale nyumbuwote waliokuwa na Jide nao wataomba msamaha au watakaza
- Watu wana vichwa vyao sijui kwanini hawavitumii, yaleyale ya kina Sugu - Ant Virus na Clouds.Sugu karudi Clouds Nyumbu wameshindwa wafanye nini.
- Ukiona mtu ana beef kuwa makini ,huwa ni suala la maslahi yake siku akiyapata utabaki kuonekana uliekuw unamuunga mkono ni bonge la mnafiki.
Alicho kifanya sugu ni safi kabisa ili iwe fundisho kwa wanafiki wanaopenda kuingilia ugomvi usio wahusu!Ile vita ilikuwa Vinega vs Ruge, sasa kwanini suluhu ilitafutwa baina ya Sugu na Ruge tu? Na kwanini Sugu alikubali kusuluhishwa peke yake akawaacha wenzake njiani? Binafsi ningekuwa mimi Sugu ningeenda kwenye meza ya usuluhisho na timu yangu yote ya Vinega ili kama msamaha pande zote zifaidike, alivyofanya Sugu ni usaliti narudia tena Sugu ni MSALITI
Sugu hakifanya pouwa kbs ilipaswa bifu lao limalizwe na wote sasa ck hiz mapacha wanatengeneza pilipili co kwamba cpend ila sisi tunataka mzikiIle vita ilikuwa Vinega vs Ruge, sasa kwanini suluhu ilitafutwa baina ya Sugu na Ruge tu? Na kwanini Sugu alikubali kusuluhishwa peke yake akawaacha wenzake njiani? Binafsi ningekuwa mimi Sugu ningeenda kwenye meza ya usuluhisho na timu yangu yote ya Vinega ili kama msamaha pande zote zifaidike, alivyofanya Sugu ni usaliti narudia tena Sugu ni MSALITI
Ruge alikuwa anapigania maslahi yake tu - hao wengine walijichomeka tu bila kujua ni nini Sugu anatafuta, kilichofuta ni Sugu alipewa alichotaka mambo yakaisha.Yaani kwa kifupi ni kwamba baada ya Ruge kuichukua THT kwa utata akawa anakula peke yake bila kumshirikisha Sugu ( Waziri kivuli wa Habari ).Siku alivyopewa kitu mamabo yakaisha.Ile vita ilikuwa Vinega vs Ruge, sasa kwanini suluhu ilitafutwa baina ya Sugu na Ruge tu? Na kwanini Sugu alikubali kusuluhishwa peke yake akawaacha wenzake njiani? Binafsi ningekuwa mimi Sugu ningeenda kwenye meza ya usuluhisho na timu yangu yote ya Vinega ili kama msamaha pande zote zifaidike, alivyofanya Sugu ni usaliti narudia tena Sugu ni MSALITI
Kweli mkuu maana MTU mmoja ndio awe kinara wa kuwanyonya wasanii na sisi tunaangaliaWatanzia ni washamba, full stop.
Mkuu hawakuingilia ugomvi zile harakati Sugu aliwashirikisha wenzake lakini at the end Sugu aliangalia maslahi binafsi.Alicho kifanya sugu ni safi kabisa ili iwe fundisho kwa wanafiki wanaopenda kuingilia ugomvi usio wahusu!
Naunga mkono hoja ni kweli jamaa alikuwa anapigania maslahi binafsi kitu ambacho Vinega wengine hawakujua mwisho wa siku Sugu alipata alichokuwa anapigania akatulia. Hata alipokuwa anajiingiza kwenye siasa alidai atatetea maslahi ya wasanii bungeni lakini alipotinga bungeni akawakana wasanii akisema yeye ni mbunge wa Mbeya na sio mbunge wa wasanii. In short Sugu ni snitchRuge alikuwa anapigania maslahi yake tu - hao wengine walijichomeka tu bila kujua ni nini Sugu anatafuta, kilichofuta ni Sugu alipewa alichotaka mambo yakaisha.Yaani kwa kifupi ni kwamba baada ya Ruge kuichukua THT kwa utata akawa anakula peke yake bila kumshirikisha Sugu ( Waziri kivuli wa Habari ).Siku alivyopewa kitu mamabo yakaisha.
- Hii inafanana na jinsi Msigwa (WAZIRI KIVULI WA MALIASILI) alivyokuwa anamchana Nyalandu kuhusu Masuala ya wanayama akiwa na Lembeli - Alichofanya Lembeli ni kuunda umoja wa Nyalandu,Msigwa na Lembeli wakaanza kutumbua maisha.Ndio dunia hiyo
KokuMkuu nikumbushe RnB mojawapo ya Q.Chillah
mm siamini ila wapo wanaoamini na wanautumiaWe unaamini uchawi unaweza kukufanya utoboe..
Rama dee anafanya music for fun yaani jamaa anabiashara zake ndo maana husikii akilalamikia promo yuko zake Australia na mke wake by then anatoka na kikao cha family( best ever song for me) alihojiwa na D7 kiss ameachana na njaa kwa kifupijamaa anajua lakn kiukweli mi cjawah bahatika kuona nguvu zake katka kupromote kazizake, cjawai sikia redioni kwny tv akipromote kaz zake, hilo nalo ni tatizo, nyimbo zake ni nzuri lakn maranying tunaziskia kimizuka mizuka kama hv mtu kaleta uzi, bs ndo watu tunafunga safar mpaka youtube kuuangalia.