Hivi Rama Dee aliwakosea nini watanzania

Hivi Rama Dee aliwakosea nini watanzania

Uteam wenu unawavunja moyo wasanii wengine.
Kwa rnb bongo wakwanza ni rama dee anakuja steve then qchila then bele 9 alafu ndo hao wakwenu hata hawjulikan wanaimba aina gani ya mziki
Mkuu nikumbushe RnB mojawapo ya Q.Chillah
 
Rama kwa kipaji wanakimbizana na alikiba barnaba Ben pol banana kidumu.

Sijui kwanini haparty airtime kama wenzake. Namshauri atafute tu kick maana mi tanzania 90% tumeshakuwa ma bogas asee nikufwata mkumbo na umbea umbea.
Kiki gani tena anahitaji, Si huyu anajiita Raisi wa timu kiba! ? Teh teh.
 
Huyo ni msanii ambaye hajielewi au kwa kifupi unaweza kusema ni Nyumbu.Amejiingiza kwenye beef za kijinga na Media halafu anajikomba komba kwa Jide.Sasa Mwenzao Jide kaomba radhi ( Nadhani ni baada kuwa chini ya mchagaa Mosha anaejua namana kupata pesa )

- Sasa wale nyumbuwote waliokuwa na Jide nao wataomba msamaha au watakaza

- Watu wana vichwa vyao sijui kwanini hawavitumii, yaleyale ya kina Sugu - Ant Virus na Clouds.Sugu karudi Clouds Nyumbu wameshindwa wafanye nini.

- Ukiona mtu ana beef kuwa makini ,huwa ni suala la maslahi yake siku akiyapata utabaki kuonekana uliekuw unamuunga mkono ni bonge la mnafiki.
Ile vita ilikuwa Vinega vs Ruge, sasa kwanini suluhu ilitafutwa baina ya Sugu na Ruge tu? Na kwanini Sugu alikubali kusuluhishwa peke yake akawaacha wenzake njiani? Binafsi ningekuwa mimi Sugu ningeenda kwenye meza ya usuluhisho na timu yangu yote ya Vinega ili kama msamaha pande zote zifaidike, alivyofanya Sugu ni usaliti narudia tena Sugu ni MSALITI
 
Alicho kifanya sugu ni safi kabisa ili iwe fundisho kwa wanafiki wanaopenda kuingilia ugomvi usio wahusu!
 
Sugu hakifanya pouwa kbs ilipaswa bifu lao limalizwe na wote sasa ck hiz mapacha wanatengeneza pilipili co kwamba cpend ila sisi tunataka mziki
 
Ile vita ilikuwa Vinega vs Ruge, sasa kwanini suluhu ilitafutwa baina ya Sugu na Ruge tu? Na kwanini Sugu alikubali kusuluhishwa peke yake akawaacha wenzake njiani? Binafsi ningekuwa mimi Sugu ningeenda kwenye meza ya usuluhisho na timu yangu yote ya Vinega ili kama msamaha pande zote zifaidike, alivyofanya Sugu ni usaliti narudia tena Sugu ni MSALITI
Ruge alikuwa anapigania maslahi yake tu - hao wengine walijichomeka tu bila kujua ni nini Sugu anatafuta, kilichofuta ni Sugu alipewa alichotaka mambo yakaisha.Yaani kwa kifupi ni kwamba baada ya Ruge kuichukua THT kwa utata akawa anakula peke yake bila kumshirikisha Sugu ( Waziri kivuli wa Habari ).Siku alivyopewa kitu mamabo yakaisha.

- Hii inafanana na jinsi Msigwa (WAZIRI KIVULI WA MALIASILI) alivyokuwa anamchana Nyalandu kuhusu Masuala ya wanayama akiwa na Lembeli - Alichofanya Lembeli ni kuunda umoja wa Nyalandu,Msigwa na Lembeli wakaanza kutumbua maisha.Ndio dunia hiyo
 
Kuna ile ngoma alimshirikisha Lady jay dee - Kama huwezi ........... ni nomaaaaaaaaahhh....
 
Alicho kifanya sugu ni safi kabisa ili iwe fundisho kwa wanafiki wanaopenda kuingilia ugomvi usio wahusu!
Mkuu hawakuingilia ugomvi zile harakati Sugu aliwashirikisha wenzake lakini at the end Sugu aliangalia maslahi binafsi.
 
Ruge alikuwa anapigania maslahi yake tu - hao wengine walijichomeka tu bila kujua ni nini Sugu anatafuta, kilichofuta ni Sugu alipewa alichotaka mambo yakaisha.Yaani kwa kifupi ni kwamba baada ya Ruge kuichukua THT kwa utata akawa anakula peke yake bila kumshirikisha Sugu ( Waziri kivuli wa Habari ).Siku alivyopewa kitu mamabo yakaisha.

- Hii inafanana na jinsi Msigwa (WAZIRI KIVULI WA MALIASILI) alivyokuwa anamchana Nyalandu kuhusu Masuala ya wanayama akiwa na Lembeli - Alichofanya Lembeli ni kuunda umoja wa Nyalandu,Msigwa na Lembeli wakaanza kutumbua maisha.Ndio dunia hiyo
Naunga mkono hoja ni kweli jamaa alikuwa anapigania maslahi binafsi kitu ambacho Vinega wengine hawakujua mwisho wa siku Sugu alipata alichokuwa anapigania akatulia. Hata alipokuwa anajiingiza kwenye siasa alidai atatetea maslahi ya wasanii bungeni lakini alipotinga bungeni akawakana wasanii akisema yeye ni mbunge wa Mbeya na sio mbunge wa wasanii. In short Sugu ni snitch
 
Msanii bora wa Rnb.

Ruge mwenyewe anamjua na mara kibao huwa anasema jamaa ndio msanii anaekubalika.

Mwaka ule Kilimanjaro Music award walimpa tuzo ya wimbo bora wa Rnb na ngoma yake ya Kuwa na Subira.

Akai sana bongo pengine ndio sababu ya yeye kutokuutolea sana muziki macho ila jamaa kipaji chake ni kikubwa mno.

Sarah,Kuwa na Subira,kama huwezi,Usijali,kikao cha family,Sina muda na kipenda roho ni moja kati ya ngoma chache kali Za jamaa.

Mwaka jana alitoa bure mitandaoni album yake iliitwa "Chini ya uvungu wa moyo" ukii-search Google utaipata na kujionea kipaji cha jamaa.
 
tunashabikia mzik kwa kufwata mkumbo huku media zikituburuza.
RAMA DEE mkali
 
jamaa anajua lakn kiukweli mi cjawah bahatika kuona nguvu zake katka kupromote kazizake, cjawai sikia redioni kwny tv akipromote kaz zake, hilo nalo ni tatizo, nyimbo zake ni nzuri lakn maranying tunaziskia kimizuka mizuka kama hv mtu kaleta uzi, bs ndo watu tunafunga safar mpaka youtube kuuangalia.
Rama dee anafanya music for fun yaani jamaa anabiashara zake ndo maana husikii akilalamikia promo yuko zake Australia na mke wake by then anatoka na kikao cha family( best ever song for me) alihojiwa na D7 kiss ameachana na njaa kwa kifupi
 
Back
Top Bottom