Nani mkubwa kati ya msanii na mwanamzikiRama Dee ni Mwanamuziki,
Hao wengine ni wasanii tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani mkubwa kati ya msanii na mwanamzikiRama Dee ni Mwanamuziki,
Hao wengine ni wasanii tu
Huyo ni msanii ambaye hajielewi au kwa kifupi unaweza kusema ni Nyumbu.Amejiingiza kwenye beef za kijinga na Media halafu anajikomba komba kwa Jide.Sasa Mwenzao Jide kaomba radhi ( Nadhani ni baada kuwa chini ya mchagaa Mosha anaejua namana kupata pesa )Wakuu, Leo katika pitapita zangu huko you tube nimekutana na video ya msanii Rama dee inaitwa - Kipenda roho
Aisee ni bonge moja ya rnb song
Kinacho nishangaza ni kwanini haikupewa na mpaka sasa haipewi air time ya kutosha kama video nyingine?
Basi hata ile kuzungumziwa kwenye social network sijawahi kusikia!
Tatizo nini kwa msanii huyu?
Nimeshindwa tu kuweka link ya hiyo video hapa ila ni mziki mzuri sana.
Video nzuri unaitazama mpaka nerve sinasisimuka nikakahisi JOE THOMAS amehamia bongo!!
Ndio kitu kilichonisukuma kuuliza huyu mtu aliwakosea nini watanzania? Kama yupo humu awaombe radhi aliowakosea video nzuri kama
ile haikufaa kuishia pale!!
Karibuni tujadili na maoni vilevile yanaruhusiwa huenda yatamfikia
Ndio matatizo ya kuwa Nyumbu,unajiingiza kwenye beef bila kujua kilichofanya hao unaowatetea wakosane.Leo kina Sugu na Jide wameelewana na Clouds umebaki zoba hujui cha kufanya.Mungu alimuumba binadamu kila mtu na kichwa chake- hata kama utashauriwa na magwiji wa ushauri 99999999999999999999999999, bado unatakiwa kukaa chini kutmiakichwa chako kuamua maamuzi yako.Hizi tabia za kukabidhi kichwa kwa mtu ni tabia za ajabu sana hususani kwa mwanaume.Tatizo jamaa ana mambo ya kike na ndio yamesababisha apotee kwenye game,aliingilia ugomvi wa Ruge na sugu sasa walivyo kuja kupatana yeye akabaki yupo yupo na ngoma zake cloud hawazigongi!
Kikao cha family jeMara ya kwanza kumsikia jamaa ni kwenye kibao chake cha Sio waoaji hao apo ndo nilipata kumsikia na kumfahamu jamaa anjua sio siri basi tuu wabongo hatuja pata kumuelewa labda kwa kua anaimba rnb soft sana kama zile za kina Joe tom akina Mario vasquez
Kipenda roho ndo best kwangu mimi kwa miondoka ya taratibu sioni kibao/track ya kibongo inacho kikaribia iyo ngoma kwa kweli..
Ki umri au kifedha au kiheshima?Nani mkubwa kati ya msanii na mwanamziki
Unamuuliza msanii ambaye sijawai kuichukia Nyimbo yakeWakuu, Leo katika pitapita zangu huko you tube nimekutana na video ya msanii Rama dee inaitwa - Kipenda roho