Hivi Rama Dee aliwakosea nini watanzania

Huyo ni msanii ambaye hajielewi au kwa kifupi unaweza kusema ni Nyumbu.Amejiingiza kwenye beef za kijinga na Media halafu anajikomba komba kwa Jide.Sasa Mwenzao Jide kaomba radhi ( Nadhani ni baada kuwa chini ya mchagaa Mosha anaejua namana kupata pesa )

- Sasa wale nyumbuwote waliokuwa na Jide nao wataomba msamaha au watakaza

- Watu wana vichwa vyao sijui kwanini hawavitumii, yaleyale ya kina Sugu - Ant Virus na Clouds.Sugu karudi Clouds Nyumbu wameshindwa wafanye nini.

- Ukiona mtu ana beef kuwa makini ,huwa ni suala la maslahi yake siku akiyapata utabaki kuonekana uliekuw unamuunga mkono ni bonge la mnafiki.

If u don't know Rama dee just don't talk about him...
 
Mkuu ngushi,

Rama Dee ni mwanamuziki haswa anayejua kuimba RNB iliyoenda shule, salute kwake.

Nyimbo za Rama D zinafuatiliwa sana na watu wanaojua muziki mzuri. Kinachomfanya asitoboe ni kushindwa kujua soko la Afrika linataka nini.

Soko la music la Africa linataka mziki unaochezeka kwa asilimia kubwa. Kwa sababu waafrika wengi hasa watanzania wanaujua wimbo kupitia disko, vigodoro na kiasi fulani radio stations. Lakini pia ni asili yetu kupenda midundo inayochezeka.

Ndio maana akina Ben Pol na Belle 9 wanafanya RNB inayochezeka na wana mafanikio kuliko kaka mkubwa Rama D, sio kwamba huko Studio beats laini hakuna, lakini wanaangalia soko linataka nini.

Wimbo kama moyo mashine haukupaswa kukimbizwa namna ile, kuna jamaa amefanya cover ni kali sana lakini angetumia Ben Pol hyo slow beat wimbo usingepata mashabiki wengi. Kuna wakati unaacha mapenzi yako binafsi unaelekea upande ilipo pesa, Afrika pesa iko kwenye midundo inayochezeka Rama D abadilike kidogo kufuata upepo kama anataka muziki biashara.
 
Rama dee ni msomi mzur tu afu anafanya zake biashara huko Australia yupo na mkewe na watoto zake wawili .yule haimbiii mzuki kama kaz ni baada ya kuona bongo wanazingua. Na hata Steve rb yupo zake naye ulaya huko wanapiga biashara zao
 
Wakuu, Leo katika pitapita zangu huko you tube nimekutana na video ya msanii Rama dee inaitwa - Kipenda roho
Aisee ni bonge moja ya rnb song
Kinacho nishangaza ni kwanini haikupewa na mpaka sasa haipewi air time ya kutosha kama video nyingine?
Basi hata ile kuzungumziwa kwenye social network sijawahi kusikia!
Tatizo nini kwa msanii huyu?
Nimeshindwa tu kuweka link ya hiyo video hapa ila ni mziki mzuri sana.
Video nzuri unaitazama mpaka nerve sinasisimuka nikakahisi JOE THOMAS amehamia bongo!!

Ndio kitu kilichonisukuma kuuliza huyu mtu aliwakosea nini watanzania? Kama yupo humu awaombe radhi aliowakosea video nzuri kama
ile haikufaa kuishia pale!!

Karibuni tujadili na maoni vilevile yanaruhusiwa huenda yatamfikia
Rama D ia the best r&b singer

Kosa lake ni kukataa kunyonywa

Nashani hata management yake ina issues..

Kumbuka darasa alishakua mkali miaka kibao iliyopita lakini katoka sasa

Rama lazima akubali tu mfumo nyonyaji uliopo
 
Rama dee ni msomi mzur tu afu anafanya zake biashara huko Australia yupo na mkewe na watoto zake wawili .yule haimbiii mzuki kama kaz ni baada ya kuona bongo wanazingua. Na hata Steve rb yupo zake naye ulaya huko wanapiga biashara zao
Thanks mkuu... Ni kama br. Paul, y thang, solo thang, ramso na wengine
 
Waulize mawingu media watakuwa na majibu
 
Well said Mtoa Mada!binafsi namuona anauweza muziki kwakweli!Na moja ya wasanii wakali saana wa RnB Tanzania hii
 
Huyo ni msanii ambaye hajielewi au kwa kifupi unaweza kusema ni Nyumbu.Amejiingiza kwenye beef za kijinga na Media halafu anajikomba komba kwa Jide.Sasa Mwenzao Jide kaomba radhi ( Nadhani ni baada kuwa chini ya mchagaa Mosha anaejua namana kupata pesa )

- Sasa wale nyumbuwote waliokuwa na Jide nao wataomba msamaha au watakaza

- Watu wana vichwa vyao sijui kwanini hawavitumii, yaleyale ya kina Sugu - Ant Virus na Clouds.Sugu karudi Clouds Nyumbu wameshindwa wafanye nini.

- Ukiona mtu ana beef kuwa makini ,huwa ni suala la maslahi yake siku akiyapata utabaki kuonekana uliekuw unamuunga mkono ni bonge la mnafiki.
HONGERA SANA KWA KUSHIKA UJAUZITO.
 
Mkuu ngushi,

Rama Dee ni mwanamuziki haswa anayejua kuimba RNB iliyoenda shule, salute kwake.

Nyimbo za Rama D zinafuatiliwa sana na watu wanaojua muziki mzuri. Kinachomfanya asitoboe ni kushindwa kujua soko la Afrika linataka nini.

Soko la music la Africa linataka mziki unaochezeka kwa asilimia kubwa. Kwa sababu waafrika wengi hasa watanzania wanaujua wimbo kupitia disko, vigodoro na kiasi fulani radio stations. Lakini pia ni asili yetu kupenda midundo inayochezeka.

Ndio maana akina Ben Pol na Belle 9 wanafanya RNB inayochezeka na wana mafanikio kuliko kaka mkubwa Rama D, sio kwamba huko Studio beats laini hakuna, lakini wanaangalia soko linataka nini.

Wimbo kama moyo mashine haukupaswa kukimbizwa namna ile, kuna jamaa amefanya cover ni kali sana lakini angetumia Ben Pol hyo slow beat wimbo usingepata mashabiki wengi. Kuna wakati unaacha mapenzi yako binafsi unaelekea upande ilipo pesa, Afrika pesa iko kwenye midundo inayochezeka Rama D abadilike kidogo kufuata upepo kama anataka muziki biashara.
nmekuelewa sana mkuu
 
Tatizo jamaa ana mambo ya kike na ndio yamesababisha apotee kwenye game,aliingilia ugomvi wa Ruge na sugu sasa walivyo kuja kupatana yeye akabaki yupo yupo na ngoma zake cloud hawazigongi!
RAMA DEE YUPO VIZURI SANA,ANAJUA SANA,KWANI MSANII WA TANGANYIKA NI LAZIMA UPATANE NA CLOUD NDO UTATOKA KIMZIKI?WAO NI KINA NANI?CHANNEL FIVE NA WENGINE HAWAPIG NYIMBO ZAKE?HIVI MNAJUA KUNA WATU HATUNAGA MUDA KABISA WA KUANGALIA CLOUD WALA KUISIKILIZA?
SISI TUNACHOTAKA NI MZIKI MZURI,MEDIA NYINGINE WAPIGE NYIMBO TUTASIKILIZA SI REDIO ZA KI.UJANJA UJANJA HIZO HATUNA MUDA NAZO KABISA.
Once again,Big up Rama Dee,keep up the good work
 
Back
Top Bottom