Hivi Rashford anastahili kweli kupewa jezi namba 10?

Hivi Rashford anastahili kweli kupewa jezi namba 10?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Naona kama kapewa jezi kubwa kuliko uwezo wake? Kwanza Rashford hana uwezo,ni overrated sana.
f3e27de2c2d24cbaaf1ed67a01260a2e.jpg
 
Inamana rashford cio mchezaji wa mpira mbona gallas defender kapewa iyo no 10
 
Kwani jezi inahusika vipi na uchezaji mpira? Hiyo ni namba tu hata wewe unaweza kupewa ila siku za hivi karibuni wavaaji wa namba 10 wameonekana kuwa wachezaji mahiri ila kama hawapo haizuii jezi No;10 kutovaliwa.
 
Back
Top Bottom