Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,595
Huwa anatumia jiko la mkaaChakula mnapikia wapi? Au huwa kila siku mnakula hotelini?
Wauzaji wote wanatakiwa kuwa na mizani ili uzito wa gasi use sawa na kilichoandikwa kwenye mtungi
Swali
Je wakati wa kufanya manunuzi huwa unapima mtungi wako na kuhaikikisha kwamba umejaaa?
Nashukuru kwa ushauri though nadhani makampuni ya gas yanatumia maeneo ya vijijini kama vichaka wanakua na agent wasio na mizani...Kwanza hakikisha kuwa unaenda kununua mtungi kwa muuzaji mwenye mzani tu na Ukienda kununua huo mtungi next time hakikisha unaupima kabla ya kuondoka nao na hyo kilo utakayopata iendane na ile ya ubavuni mwa mtungi na kama itapungua basi iwe ni zero point kadhaa .ukiona imepungua kilo kadhaa basi nenda kwa muuzaji mwinngine.
itakua imeharibika kidude cha Kuzima na kuwasha hakikazi vizuri so Hata ukizima gesi inapita.
pia yawezekana kwenye kuizima hamuikazi vizuri so inakua I natoka
mimi yangu kuna mwezi ilikaa wiki moja tu Shida nikwamba Binti wakazi alikua hajazoea kutumia gesi so kwenye Kuzima hakazi vizuri
Cc Smart911
Wahanga kumbe tupo wengi, sema wengine wanaugulia ndani kwa ndani hawataki kupaza sautiBora wewe umesema yaani gas inaisha kama majiiiiii khaaaaa.... Nimenunua o gas uwiiii mwezi mmoja tu imeisha na hapo natumia jiko la mkaa na la mchina Pia.... Wakaguliwe hawa jamaa
Wahanga kumbe tupo wengi, sema wengine wanaugulia ndani kwa ndani hawataki kupaza sauti
Nimekuja kwa pm yako nkakuta kufuli..Tupo wengi mnoo, mie huwa natumia mtungi mdogo Muda wa miezi miwili mpaka mitatu, ila time hii lol,! Mwezi tu gas imeisha
Kwa kuwa hujanitag acha nikae pembeni sitoi ufundi wangu
itakua imeharibika kidude cha Kuzima na kuwasha hakikazi vizuri so Hata ukizima gesi inapita.
pia yawezekana kwenye kuizima hamuikazi vizuri so inakua I natoka
mimi yangu kuna mwezi ilikaa wiki moja tu Shida nikwamba Binti wakazi alikua hajazoea kutumia gesi so kwenye Kuzima hakazi vizuri
Cc Smart911