Hivi Regulator wa Mitungi ya Gas Mpo?

Hivi Regulator wa Mitungi ya Gas Mpo?

Mara ya mwisho kufanya sevis jiko lako lin, pia paipu inatakiwa kubadilishwa kila baada ya miaka 2
.....
 
Atleast hapa napata jibu coz nina mitungi miwi mkubwa na mdogo nikifulia huwa natumia mdogo
Kama unatumia mtungi mdogo take time to check it's burner, probably itakuwa na tatizo la kupitisha gas au huenda huikazi vizuri baada ya matumizi..
 
Asee JF inanguvu sana jana kwa mara ya kwanza nilisikia Tangazo la jamaa wa Oryx Gas wakieleza tahadhari za kununu mutungi bila kuhakiki uzito na sild wanadai kuna manyamera wanaichakachua, automatic nkajua ni nguvu ya huu uzi kwakua sikuwahi kuskia tangazo lao lolote lilolenga tahadhari... Wanaosikiliza Abood Fm watakua mashuhuda jana walianza kutoa tangazo
 
Back
Top Bottom