Hivi Rich Mavoko yuko wapi?

Hivi Rich Mavoko yuko wapi?

Ana wimbo mmoja unaitwa 'naogopa'
Mzuri sana ..angekuwa bado yuko WCB unge hit sana...

Kuna watu wamempoteza Kwa ushauri mbaya..

Ingawa yeye na Harmonize wamechangia kusababisha waliobaki WBC wapate malipo mazuri nahisi..
Mboso now sidhani kama anatamani kutoka WCB
 
Kwani walikuwa wanalipwa kidogo?
 
Inasemekana hivyo..sijui ukweli wake zaidi
Harmonize kaondoka wasafi akiwa anamalizia kujenga ghorofa lake baada ya kuwa na nyumba mbili rich mavoko katika safari yake ya mziki hajawahi kumiliki mark x kamiliki akiwa wasafi ila sasa hiv kaliuza Kama hivi ni malipo kidogo watu Kama qchilla,Tid,chid Benz watasemaje?
 
Al
BINADAM WABAYA SANA HIVI WALE WALIOKUWA WANAMPA USHAURI ATOKE WASAFI WALIMUANDAA KWELI HATA KWA USAURI? 🤔
BINADAMU WABAYA SANA
Alafu wengi wao wanakwambia mavoco alikuwa mkubwa kabla ya kuingia WCB,alikuwa anahit sawa lakini hakuwa na ukubwa huo waliokua wanamuongezea,leo hii huko alipo ukiwauliza waliokua wanasema ananyonywa na WCB wako wapi huwaoni,na Kama alikuwa ananyonywa vp kwasasa si yupo nje ya WCB hali ikoje?,ambaye alitarget kutoka pale ni kondeboy tu tayari alikuwa mkubwa kwa kila kitu
 
Ana wimbo mmoja unaitwa 'naogopa'
Mzuri sana ..angekuwa bado yuko WCB unge hit sana...

Kuna watu wamempoteza Kwa ushauri mbaya..

Ingawa yeye na Harmonize wamechangia kusababisha waliobaki WBC wapate malipo mazuri nahisi..
Mboso now sidhani kama anatamani kutoka WCB

Aahh ule wimbo kwa hakika n mzuri sana.

Kuna nyimbo ingine kaimba na Fid Q pamoja na Yule dada mwimba taarabu. Aaahhh Mavoko alichofanya mule ni zaidi ya kipaji..

Jamaa anaupenda mziki aise. Haukoseagi
 
Harmonize kaondoka wasafi akiwa anamalizia kujenga ghorofa lake baada ya kuwa na nyumba mbili rich mavoko katika safari yake ya mziki hajawahi kumiliki mark x kamiliki akiwa wasafi ila sasa hiv kaliuza Kama hivi ni malipo kidogo watu Kama qchilla,Tid,chid Benz watasemaje?

Hilo ghorofa kajenga kwa saport ya mzungu. Acha kulisha watu matango.

Konde boy tumepiga sana gym kwake alipokuwa anaishi pale Mtongani kwenye kijumba cha diamond..

Kwa hiyo usitake kudanganya watu mkuu..
 
Back
Top Bottom