Hivi Rich Mavoko yuko wapi?

Hivi Rich Mavoko yuko wapi?

Harmonize kaondoka wasafi akiwa anamalizia kujenga ghorofa lake baada ya kuwa na nyumba mbili rich mavoko katika safari yake ya mziki hajawahi kumiliki mark x kamiliki akiwa wasafi ila sasa hiv kaliuza Kama hivi ni malipo kidogo watu Kama qchilla,Tid,chid Benz watasemaje?

Innocent enzi za ukiwa na gari ndio una hela sishapitwa na wakati

Kuwa na gari sio alama ya kuwa una mkwanja!!

Mark x???
 
Pacha wangu!! Wimbo naoupenda zaidi toka kwa mavoko ila beat kama jamaa alizingua hv kwenye bass upande wa chorus. Ila jamaa pamoja na Mo Music wana vipaji ila nyota hawana. Diamond qna nyota ila kipaji hana ndio maana anaimba matusi tupu na nyota inqmbeba.

Nb: Team Wcb sijamponda rais wao lakini. Ana nyimbo alizoimba na nikazipenda. Ana producer anayejua kutia naksh kidogo wimbo uonekane mzuri.
 
Unavyojua wewe nini Maana ya kipaji?
 
Innocent enzi za ukiwa na gari ndio una hela sishapitwa na wakati

Kuwa na gari sio alama ya kuwa una mkwanja!!

Mark x???
Kama unaweza kumiliki mark x unashindwa vipi kuwa na mjengo mkali hapa town
 
KUNA WATU MNAJIFANYA MNAWAJUA WATU KWA UNDANI, WEWE UNAIJUA ACCOUNT YA SARAH INA KIASI GANI?? HICHO KIJUMBA CHA MTONGANI HARMO ALIHAMA MWAKA GANI? 🤔
Hilo ghorofa kajenga kwa saport ya mzungu. Acha kulisha watu matango.

Konde boy tumepiga sana gym kwake alipokuwa anaishi pale Mtongani kwenye kijumba cha diamond..

Kwa hiyo usitake kudanganya watu mkuu..
 
Pacha wangu!! Wimbo naoupenda zaidi toka kwa mavoko ila beat kama jamaa alizingua hv kwenye bass upande wa chorus. Ila jamaa pamoja na Mo Music wana vipaji ila nyota hawana. Diamond qna nyota ila kipaji hana ndio maana anaimba matusi tupu na nyota inqmbeba.

Nb: Team Wcb sijamponda rais wao lakini. Ana nyimbo alizoimba na nikazipenda. Ana producer anayejua kutia naksh kidogo wimbo uonekane mzuri.
Meaning Management yake ni nzuri anajua anachokifanya while Kiba yeye siku hizi muziki haujulii kama zamani ukiona likes kapata kwa sababu ya zamani alikuwa ni more fire .
Halafu management yake inajiweza kipesa ila kimuziki mmh! Hapana nyota ya muziki ipo ila kujipanga nakutoa kitu kinahiti ni Zero halafu beats zake bado niza kizamani habadilishi mfumo wake huo.
Akidhani atakuwa unique.
 
Dogo hilo halina ubishi

Maslahi na dharau vilimwondoa rich, harmonize

Sidhani kama ina ligi sana hii

Hata kama unampenda diamond
UNAIJUA PROCESS NZIMA YA MSANII WA WCB HADI ANA SIGN MKATABA?? 🤔
JE ULIISHAWAHI KUONA HATA SAMPLE YA MKATABA WA WCB NA WASANII WAO?? 🤔
NO PROVED DATA NO RIGHT TO SAY
 
Usiwe unaongea kitu ambacho ujui next time
Kama una hasira njoo tupigane. Tatizo huwa unadhani huyo diamond atakutafuta kwa kuwa shabiki wake. Hujiulizi kwnn umenikasirikia kisa nimemtaja diamond hapo. Akitajwa alikiba ama babu seya sawa tu (huitwa mtoa maoni) akitajwa huyo diamond unahisi ni haters ndio wanamkosesha.
 
Kujenga ghorofa baada ya kuwa na nyumba mbili 😀 😀 😀 😀 ,Tofauti ya nyumba na ghorofa ni ipi?
Ukitaka kujua tofauti kamuulize mtu ambaye ana nyumba ya Kawaida na mwingine ana nyumba ya ghorofa.
 
UNAIJUA PROCESS NZIMA YA MSANII WA WCB HADI ANA SIGN MKATABA?? 🤔
JE ULIISHAWAHI KUONA HATA SAMPLE YA MKATABA WA WCB NA WASANII WAO?? 🤔
NO PROVED DATA NO RIGHT TO SAY
Kwanza muulize lini amewahi kumsikia rich mavoko amesema kaondoka wasafi kwasababu ya malipo madogo akikujibu nitag
 
Unavyojua wewe nini Maana ya kipaji?
Kipaji ni kile kitu unacho sio kile kitu unachofunzwa ukawa nacho mfano kanumba , wema,ray,na badhii ya watu wzamani wakiigiza hapa utadhani ni kweli hicho nikipaji.
Mf.Wale wanamuziki wazamani wengi tu embu angalia zile za zamani bendi msondo ngoma wakina wengine yaani jide ukianza sauti zao,mipangilio ya muziki nikitu safi hiyo ndio kipaji.
Kuna Diamond , watu hanasema hana kipaji cha muziki ila anajua kujipangangilia mimi naona anajua management ni nzuri ila kitu kimoja tu hana basi sauti yake na konde ni zero. Hana sauti nzuri wenye sauti nzuri hapo na kipaji WCB ni rayvanny basi hata lava lava anayo sauti.
 
Back
Top Bottom