Hivi Rich Mavoko yuko wapi?

Hivi Rich Mavoko yuko wapi?

Innocent enzi za ukiwa na gari ndio una hela sishapitwa na wakati

Kuwa na gari sio alama ya kuwa una mkwanja!!

Mark x???
Kama unaishiaga kuyaona tu magari bora ukae kimya tu, Unajua mark x kwa wiki mafuta kiasi gani yanahitajika
 
Main point point yangu Kama anauwezo wa kununua mark x pia anauwezo wakujenga nyumba nzuri badala ya kununua gari la Bei mbaya nunua hata vits alafu hela zingine amishia kwenye ujenzi wa nyumba.Mzee wangu Hana uwezo hata wa kuwa na mark x lakini anaishi kwenye nyumba nzuri maisha ni kupangilia
Sawa Mkuu.
 
Kama unaishiaga kuyaona tu magari bora ukae kimya tu, Unajua mark x kwa wiki mafuta kiasi gani yanahitajika
Cc 2500 ndio kubwa? Unajua kwamba engine zimedesigniwa kutumia mafuta kidogo hata cc ikiwa kubwa? Ulaji wa mafuta kwenye gari sio kama wewe unavyochuka glass ya maji na kunywa yanavyoisha kwenye glass......Litre 1 unaweza ukatembelea km 10 hadi 12 kwa cc 2500 na pia kuna Hybrid umeme mwingi mafuta kidogo.
 
Naona umeyajulia magari facebook mkuu, hivi kwa akili yako unatembelea low gear hapa mjini kwenye foleni unafkiri utatumia lita moja kwa kilometa kumi??? Azima kwanza uje kuleta mrejesho sio una copy na ku pesti tu. Kwa hapa mbeya tu kuzurua mjini tena kistaarabu lita 7 zinakuhusu, nenda kwenye sheli ukaulizie crown inatumia petrol au diesel alafu uzidishie bei mara saba🤣🤣 Hii ni mbeya tu, sipati picha kwa dar.

Gari zilizochochea msemo wa "kuwa na gari haimaanishi una pesa" ni hizi baby walker kama ist, passo, porte, citz, n.k hazinywi mafuta, zinanusa kidogo tu
 
Naona umeyajulia magari facebook mkuu, hivi kwa akili yako unatembelea low gear hapa mjini kwenye foleni unafkiri utatumia lita moja kwa kilometa kumi??? Nunua kwanza lako ndio uje kuleta mrejesho sio una copy na ku pesti tu. Kwa hapa mbeya tu kuzurua mjini tena kistaarabu lita 7 zinakuhusu, nenda kwenye sheli ukaulizie crown inatumia petrol au diesel alafu uzidishie bei mara saba🤣🤣 Hii ni mbeya tu, sipati picha kwa dar
Kwani watengenezaji wa magari wanavyosema gari inatumia mafuta let's say 1ltr per 10km wanapima ikiwa kwenye foleni?
 
Kwani watengenezaji wa magari wanavyosema gari inatumia mafuta let's say 1ltr per 10km wanapima ikiwa kwenye foleni?
Wanapima kwa barabara zao huko ambako kuna barabara hadi 12 mambo ya foleni utakutia wapi, yani ni spidi mtindo moja na ni mwendo wa lami tu full tambarare, Sasa huku bongo kwanza foleni lazima utembelee low gear, barabara nyingine ukipita hakuna lami, kupunguza pungiza spidi kwenye matuta kibao, milima, mashimo, n.k.

Ila ukitumia gari yako kwa safari ndefu hapo utafurahi lita utatumia kidogo kwa kilometa nyingi maana utakuwa unamwaga moto tofauti na mjini
 
Harmonize kaondoka wasafi akiwa anamalizia kujenga ghorofa lake baada ya kuwa na nyumba mbili rich mavoko katika safari yake ya mziki hajawahi kumiliki mark x kamiliki akiwa wasafi ila sasa hiv kaliuza Kama hivi ni malipo kidogo watu Kama qchilla,Tid,chid Benz watasemaje?

Wewe ndo die hard fan sasa !!!...
kama kuna mtu ana connection ya wasafi ni kheri akupe maana hata ukifanya volunteering, utafanya kwa moyo wote asee 😊
 
Wewe ndo die hard fan sasa !!!...
kama kuna mtu ana connection ya wasafi ni kheri akupe maana hata ukifanya volunteering, utafanya kwa moyo wote asee [emoji4]
Hata tigo akiombwa hatosita

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
 
Hata tigo akiombwa hatosita

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?

Sana mkuu.. ina nini zaidi maana ujumbe wake kiasi flani lazma uwe umelenga kitu
 
Main point point yangu Kama anauwezo wa kununua mark x pia anauwezo wakujenga nyumba nzuri badala ya kununua gari la Bei mbaya nunua hata vits alafu hela zingine amishia kwenye ujenzi wa nyumba.Mzee wangu Hana uwezo hata wa kuwa na mark x lakini anaishi kwenye nyumba nzuri maisha ni kupangilia
Dogo wenzio wanakushangaa kwa kuwa hujui gharama za ujenzi. Mark X inauzwa milioni 15 na mabati ya Alaf ya nyumba ya vyumba vinne yale kama vigae ni milioni 25

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye Sauti kidogo tunapishana diamond ana Sauti nzuri Sana ya uimbaji we angalia akiimba nyimbo za taratibu vocal yake inavyokuwa ila kwenye ngoma za kubang uwezi kuona ubora wa Sauti wa msanii mfano mzuri wimbo Kama babalao,kidogo,yope remix
Sijasema hana kabisaa hapana anayo angeimbaje hizo nyimbo zote ila usipokuwa na kipaji sijui nimekwama katika kukushauri
 
Naye siku zake zitafika
Al
Alafu wengi wao wanakwambia mavoco alikuwa mkubwa kabla ya kuingia WCB,alikuwa anahit sawa lakini hakuwa na ukubwa huo waliokua wanamuongezea,leo hii huko alipo ukiwauliza waliokua wanasema ananyonywa na WCB wako wapi huwaoni,na Kama alikuwa ananyonywa vp kwasasa si yupo nje ya WCB hali ikoje?,ambaye alitarget kutoka pale ni kondeboy tu tayari alikuwa mkubwa kwa kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Main point point yangu Kama anauwezo wa kununua mark x pia anauwezo wakujenga nyumba nzuri badala ya kununua gari la Bei mbaya nunua hata vits alafu hela zingine amishia kwenye ujenzi wa nyumba.Mzee wangu Hana uwezo hata wa kuwa na mark x lakini anaishi kwenye nyumba nzuri maisha ni kupangilia
Na wewe unaishi wapi mbona una sifu vya baba sifu vyako mkuu kuwa sina gari ila na mjengo mkali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom