Hivi Rich Mavoko yuko wapi?

Hivi Rich Mavoko yuko wapi?

Unafikiri mimi ni kapuko mwenzako? nina nyumba ya Zaidi ya milioni 300 na pia nina nyumba nyingine za kawaida 2 ambazo sio chini ya milioni 100 kila moja.

Sikutaka nijieleze yote haya ila nakwambia ili ujue humu kuna watu tofauti wengine tumeanza na Darhotwire ya IPP tukahamia Jambo Forum na sasa tuko JF sio watoto kama unavyofikiri na sio makapuko kama nyie watoto wa juzi

Toka nilivyoona mnaongelea Mark X kama gari nzuri sasa V8 mtasemaje?
samahan mjomba nnashida na buku 10
Niko seriously
 
Unafikiri mimi ni kapuko mwenzako? nina nyumba ya Zaidi ya milioni 300 na pia nina nyumba nyingine za kawaida 2 ambazo sio chini ya milioni 100 kila moja.

Sikutaka nijieleze yote haya ila nakwambia ili ujue humu kuna watu tofauti wengine tumeanza na Darhotwire ya IPP tukahamia Jambo Forum na sasa tuko JF sio watoto kama unavyofikiri na sio makapuko kama nyie watoto wa juzi

Toka nilivyoona mnaongelea Mark X kama gari nzuri sasa V8 mtasemaje?
Niongee basi ml. 30 tu nijengee nyumba ya kawaida
 
Sibishani na kula kulala. Ukikua utajua. Nyumba nimejenga na imenigharimu zaidi ya milioni 300 sasa hapo hivyo vi mark X vyako si ningefungua yard kabisa
Second end ni cheap,new bland inaweza fikia 80m na zaidi
 
Dogo wenzio wanakushangaa kwa kuwa hujui gharama za ujenzi. Mark X inauzwa milioni 15 na mabati ya Alaf ya nyumba ya vyumba vinne yale kama vigae ni milioni 25

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani mavoco alinunua second end mark x?
Maana mmekadhania mil 15 (cjui ni vichwa vimezoea vitu vya used [emoji1438]‍♂️)

Wakat kuna mark x zinagonga mpaka 75m mpya
 
Kwani mavoco alinunua second end mark x?
Maana mmekadhania mil 15 (cjui ni vichwa vimezoea vitu vya used [emoji1438]‍♂)

Wakat kuna mark x zinagonga mpaka 75m mpya
Hao wasanii makanjanja hawawezi kununua hiyo gari ndogo kwa bei hiyo. Si bora angenunua Range Rover used avimbe mjini kuliko kuendesha kagari kama Mark X vya watoto wanaoanza kazi wananunua kwa mikopo yao ya kwanza baada ya ule wa Loan Board
 
Pacha wangu!! Wimbo naoupenda zaidi toka kwa mavoko ila beat kama jamaa alizingua hv kwenye bass upande wa chorus. Ila jamaa pamoja na Mo Music wana vipaji ila nyota hawana. Diamond qna nyota ila kipaji hana ndio maana anaimba matusi tupu na nyota inqmbeba.

Nb: Team Wcb sijamponda rais wao lakini. Ana nyimbo alizoimba na nikazipenda. Ana producer anayejua kutia naksh kidogo wimbo uonekane mzuri.

mkuu naomba nikukosoe, Diamond ana kipaji sana na ndiye mwanamziki wa kwanza mimi kumkubali kwenye Bongo flava, mimi nilikuwa sisikilizi kabisa hizi bongo flava maana sikuzipenda
Diamond ana kipaji ila sasa hivi anapotea,haya manyimbo mengine anayoimba simuelewi kabisa mfano nyegezi nk
nyimbo zake kama NTAMPATA WAPI , KIZAI ZAI ,KAMWAMBIE na UKIMUONA ndizo Bongo flava za pekee zipo kwenye simu yangu

Usemayo ni kweli. Diamond wa zamani sio huyu wa sasa. Mbagala, kamwambie, nimpende nani, moyo wangu, lala salama, nitarejea, nana, halo na nyingine kama hizo zilimuweka kuwa wa kipekee. Alipoanza kuimba haleluya ndipo aliharibu mpaka jeje. Siku hizi anaimba lugha yake mwenyewe.
 
Back
Top Bottom