Hivi Rich Mavoko yuko wapi?

Hivi Rich Mavoko yuko wapi?

Kama una hasira njoo tupigane. Tatizo huwa unadhani huyo diamond atakutafuta kwa kuwa shabiki wake. Hujiulizi kwnn umenikasirikia kisa nimemtaja diamond hapo. Akitajwa alikiba ama babu seya sawa tu (huitwa mtoa maoni) akitajwa huyo diamond unahisi ni haters ndio wanamkosesha.
enhee, aje mpigane mkuu, kataa dharau [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Main point point yangu Kama anauwezo wa kununua mark x pia anauwezo wakujenga nyumba nzuri badala ya kununua gari la Bei mbaya nunua hata vits alafu hela zingine amishia kwenye ujenzi wa nyumba.Mzee wangu Hana uwezo hata wa kuwa na mark x lakini anaishi kwenye nyumba nzuri maisha ni kupangilia
Unajua bei ya mark x bwana mdogo??.utaabika bure,fanya research,,nyumba nzuri haiwezi hata kufika kwenye renta kwa hiyo bei ya mark x..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sibishani na kula kulala. Ukikua utajua. Nyumba nimejenga na imenigharimu zaidi ya milioni 300 sasa hapo hivyo vi mark X vyako si ningefungua yard kabisa
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwa hiyo wewe una nyumba ya mil 300?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwa hiyo wewe una nyumba ya mil 300?
Unafikiri mimi ni kapuko mwenzako? nina nyumba ya Zaidi ya milioni 300 na pia nina nyumba nyingine za kawaida 2 ambazo sio chini ya milioni 100 kila moja.

Sikutaka nijieleze yote haya ila nakwambia ili ujue humu kuna watu tofauti wengine tumeanza na Darhotwire ya IPP tukahamia Jambo Forum na sasa tuko JF sio watoto kama unavyofikiri na sio makapuko kama nyie watoto wa juzi

Toka nilivyoona mnaongelea Mark X kama gari nzuri sasa V8 mtasemaje?
 
Kupata vichekesho kama hivi tuma neno FUNZA MPUUZI kwenda na 0000000 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Umu ni watu wa kale tuu ndo wanabishana wenye pesa zao wengine acha tupite pembeni dah,

Hongeleni kwa mafanikio mliyo yafikia wengine bado sana, connection zimegoma

Ila mavoko dah amezaliwa kuwa funzo kwa kizazi hichi
 
Huyo bwana mdogo bado hajamaliza hata chuo,wala usimshangae..anadhani nyumba nzuri inajengwa kwa milioni 15

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwalimu wako alipatashida kukufundisha alafu pia uwe unasoma vizuri comment ya mtu kuliko kucomment bila kuelewa sijasema kwamba hela ya mark x unaweza kununua nyumba au kujenga nyumba nilichomaanisha Mimi kwanini ununue Toyota mark x ambayo ni 25m why don't you buy vits alafu hela inayobakiwa ukawekeza kwenye ujenzi wa nyumba?Mtu Kama ununua gari la 25m means unajiweza unanunuaje gari la Bei ya juu wakati hata nyumba huna?This is my point
 
Back
Top Bottom